Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila aanza kunena kwa lugha

Msihangaike mkadhani kwamba kuna jipya la hasha, CCM ndo yenye kuunda Serikali na Mama Samia na Mpango wanatekeleza ilani ya CCM na msidhani kwamba watawatendea mabaya wateule wa Magufuli waliopa madarakani bali wembe ni ule ule
Wembe huu naoujua mimi?
 
Sasahivi wanasiasa waliokuwa viranja wakujibu shit na kuvuruga watu wanajidai kujisafisha.

Siku zote tenda wema na hutakuwa na sababu ya kujieleza sana baadae, kwasababu historia itaonyesha ulikuwa mtu was haki.

Ubaya kamwe haulipi.
Mfano mzuri mtaka
 
Bado haijafahamika kisa cha Mh Chalamila kuanza kujieleza kwa kiwango kikubwa kiasi hiki , huku akiwa hajaulizwa na mtu yeyote .

View attachment 1738620

Je anasukumwa na hofu ya upepo mpya unaovuma ?
Hakuna siku aliyoniudhi huyu RC Chalamila kama siku ile aliyokwenda mbele ya media na kudai ati, " NIMEONGEA NA MHE. RAIS NI MZIMA ANA CHAPA KAZI " wakti taifa lilikuwa kwenye sintofahamu ya Rais Magufuli yuko wapi??
Watu WAONGO kama Chalamila ni wa kutumbua immediately maana ndio wanaompotosha Rais na Watz.
 
Msihangaike mkadhani kwamba kuna jipya la hasha, CCM ndo yenye kuunda Serikali na Mama Samia na Mpango wanatekeleza ilani ya CCM na msidhani kwamba watawatendea mabaya wateule wa Magufuli waliopa madarakani bali wembe ni ule ule
Wala hatudhani hayo kutokea , lakini kwanini sasa watu wananena kwa lugha ?
 
Msihangaike mkadhani kwamba kuna jipya la hasha, CCM ndo yenye kuunda Serikali na Mama Samia na Mpango wanatekeleza ilani ya CCM na msidhani kwamba watawatendea mabaya wateule wa Magufuli waliopa madarakani bali wembe ni ule ule
Ndio maana aliyekuwa mkurugenzi wa TPA kakamatwa na kuwekwa ndani na TAKUKURU akifanyiwa birthday party, na huyu ni mteule wa Magufuli. MATAGA mtabakia kuwa mataga always
 
Tanzania hakuna kigezo kinachoeleweka cha kuwateua viongozi mbalimbali ila ni upambe zaidi na umbeya sifa kuu mbili ambazo Magufuli alizitumia sana katika kuteua watu wake.

Hata safari hii tusitegemee tofauti sana kwa sababu wengi kwa kuogopa kujiajiri hupenda kujipendekeza ili wapate uteuzi.
 
Halafu wakati huo huo huwaambia wahitimu wa vyuo wajiajiri
 
Kwa kuwa Hayati JPM alimnyakua na kumtupa Mbeya, Hata huku CHAMWINO nje hapa Getini nimesikia Wakiongea chini chini kuwa MAMA (Madame President) naye anataka KUMNYAKUA pia na kumpeleka Benchi la Akiba pale Lumumba..
Hapa getini Chamwimo Wanaisifia formula ya MADAME PRESIDENT ile ya Kukabia kwa Juu huku akiwasaidia walioshindwa kukaba
 
Back
Top Bottom