Mkuu wa Mkoa Arusha aropoka mei mosi

Mkuu wa Mkoa Arusha aropoka mei mosi

hii ndio shida, katiba mpya ni muhimu wajemeni kinyume chake tutakiona cha moto
 
Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wahabari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tiyari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvuu nyingi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kwa hili Jamaa yuko Sahhi Kabisaaa...
Acheni waanze Kuropoka siri zao wenyewe, alianza Wassira Bungeni na Issue ya Kibanda.
Hizi Kauli sio kwamba sio za Kweli, ila huyu Jamaa atakuwa ameteleza Kutoa Hii Siri Nje aisee.
Mungu anazidi Kuwalaani, watazidi kuropoka siri na Madhambi yao.
Kesho Mtasikia anakimbilia kwenye Hivyo Vyombo vya Habari kukanusha na kusema kuwa ame kuwa quoted Vibaya
Wao wana Fedha na Madaraka, Sisi Tuna Mungu Bwana.
 
Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wahabari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tiyari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvuu nyingi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums


Jamani kiongozi huyu si kosa lake ila cha kwanza kabisa ni elimu aliyonayo ya darasani

Dereva wa lori la lami hawezi kuongoza Wanainchi kwa hali hii ya kauli mbovu kama aliyotoa!
 
Kuna tetesi kwamba RC wa Arusha anakula mchicha wa Arusha, vipi yawezekana ni kweli?
 
Muda si mrefu atakanusha maana ndiyo kawaida yake,watu hawa wana vichwa vya samaki
 
Huyu bila shaka atakuwa ni mfuasi wa Alshababy, mbona ana vitisho sana? Anazani hizi ni enzi za serkali kushika hatamu? Huyu dreva maroli hatumuelewi kabisa.

hahahaa! Atakuwa al shabab kwakweli tayari kung'oa meno na kucha
 
tuwekeni hapa video ili tuone ujinga wa huyu mteule yaani ccm laana inawatafuna ile mbaya
 
Kama kweli kayatamka hayo kwa kinywa chake, basi huenda hajielewi na amepaniki au kuwa na wingi wa hofu maana kwa sasa anaona kama kila mtu ni adiu yake,
 
Arusha tangu aondoke Isidore Shirima haijawahi tena kuwa na Mkuu wa Mkoa.Huyu aitwae Mkuu wa mkoa sasa hivi ni kama gunia tupu kwani hajui anachokifanya zaidi ya kutekeleza aliyotumwa na chama chake.Ili magamba wajinusuru, hawana budi kuliondoa gunia hili kwani ni aibu kubwa kwao kuwa na mtu design hii.Ikiwezekana akafanyiwe IQ Test.
Arusha inahitaji mtu mwenye upeo mkubwa mwenye busara na hekima za kutosha na sio kilaza.Mji wa Arusha ni muhimu sana katika pato la kigeni kwa taifa hili.
 
sisi tuaminije hii kauri yako kwanza inaonekana unachuki binafsi na rc ndo maana umeanza kwa kutukana,turushie sauti yake.
 
anamtishia nani kifo wakati kila nafsi itaonja mauti , inawezekana yeye akatangulia. aache kutisha watu yeye sio Mungu bhana.
 
maskini ccm imekufa hapa arusha mapema kabla hatujatumia makombora yetu yale makubwa kabisa.
 
Huyu bila shaka atakuwa ni mfuasi wa Alshababy, mbona ana vitisho sana? Anazani hizi ni enzi za serkali kushika hatamu? Huyu dreva maroli hatumuelewi kabisa.

if it is true amesema hivyo itakuwa very unfotunate. I thimk it is high time now the employer acted, :A S 103:
 
waandishi wa habari uchwara nao ni tatizo
 
I don't know kwanini mkoa makini kama huu umepata bahati mbaya ya kumpata mkuu wa mkoa kama huyu...Mr President should think twice and replace him immediate.

Ulitaka upewe wewe?
 
Back
Top Bottom