Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wahabari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe
tiyari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvuu nyingi [/QUOTE]
Kumbe Mkuu
martin jr na wewe ulikuwepo!
Aisee...Nilidhani ni peke yangu nimemsikia vibaya!...Huyu jamaa analazimisha watu wamfanyie mambo yasiyofaa hapa Arusha!...Ni mambo gani hayo anayojua wanahabari watafanyiwa, au kutesa waandishi ni sera yao nini!
Magesa nakushauri unapokuwa kwenye Public pima maneno unayoongea, coz uongeaji wako sooner or later utakugharimu.