Mkuu wa Mkoa Arusha aropoka mei mosi

Mkuu wa Mkoa Arusha aropoka mei mosi

Mkuu usilalamike, kwani haikuwa bahati mbaya kwa Magesa Mulongo kuwa Mkuu wa Arusha. Ni mpango wa Mungu kutuonyesha rangi halisi ya Serikali ya ccm.
CCM ni majangili, majambazi, wauaji na mafisadi

I agree with you.
 
Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wa habari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tayari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvu nyingi.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Dr Slaa alituasa kuwa CCM kwa sasa wamepanic baada ya kuona wananyang'anywa dola...na kwa siasa zetu watu wakifika hatua hii wanaweza kufanya hata mauaji hovyo kwa raia!!
 
Kama J. K ndiyo alimuweka hapa kwahiyo alikuwa anaongea kwa niaba ya J. K au ndiyo J. K kamtuma?
 
Ndio maana tunasema hatuhitaji hawa watu wanaitwa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya, hasa kama wataendelea kuteuliwa na mtu mmoja aliyepo Dar. Natumaini waandishi wa rasimu ya katiba mpya wameliona hili.
 
Lakini kasema kweli. Unamkumbuka Absalom Kibanda?? Huyu anajua kuwa serikali inawafanyizia waandishi wa habari wanaoikosoa vile!!! Si unamkumbuka Ulimboka?? Wawe makini, watang.............
 
Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wa habari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tayari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvu nyingi.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Duh huyo RC ni bonge la mkweli kwani hayo ndo maagizo walopewa na mkuu wa kaya. Tuna kila sababu ya kuwaondoa madarakani sasa!
 
Back
Top Bottom