Mkuu wa Mkoa Arusha aropoka mei mosi

Mkuu wa Mkoa Arusha aropoka mei mosi

Katiba mpya isiwe na hivyo vyeo vya favour kisiasa kama hivyo. Kama kenya katiba yao mpya magavana wanatokana na wananchi hivyo akichemka anawajibishwa na waliomchagua.
 
mmh! amewakilisha alioambiwa aseme na mkuuwake wa kaz. NDO SERA YA CHAMA CHAO kwa sasa kupga tuu wasiokua na hatia
 
Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wa habari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tayari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvu nyingi. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Wanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha hawakukosea walipomzomea huyu jamaa
 
Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wa habari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tayari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvu nyingi.
Kaongea ukweli,
Hakupanga kusema hili that's for sure.
Sometime uovu ukijikusanya ndani mwako, kunakuwa na units nyingi za uovu in small compartment leading to a very high pressurized uovu which in one way or the other, will find its way out beyond your voluntary inhibitory forces.
 
jamaa breakfast yake itakuwa ni kuberi

heshima mkuu kuberi tunatumia wengi lakini tunabusara yule ana tatizo la kubanwa kichwa wakati anazaliwa kwa hiyo ubongo umechanganyika na kamasi
 
jamaniii ccm ni serekali ya kishkaji yani janga
 
Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wa habari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tayari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvu nyingi.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums


Vitu vizito vya ncha kali vyenye kuruka...................
 
Kuna tetesi kwamba RC wa Arusha anakula mchicha wa Arusha, vipi yawezekana ni kweli?

..........watu wakutokea pande za Majita mbona ni kawaida ! Unakumbuka ile vita ya wanchali na warinchoka ?...........walizipiga baada kuharibiana biashara ya bange.
 
Mulongo ametamka hayo si kwa bahati mbaya bali ndiyo kazi ianayofa serikali ya Kikwete, hata wanga hufanya shughuli zao kwa siri lakini mwishoe hulopoka dhambi zao, sasa hatuna haja tena ya kujiuliza nani alimzuru akina ULimboka na Kibanda jibu ni serikali.
 
I don't know kwanini mkoa makini kama huu umepata bahati mbaya ya kumpata mkuu wa mkoa kama huyu...Mr President should think twice and replace him immediate.

Wala huna haja ya kuwaza sana! Thats what JK has to give. Its the best of what he has. Its the best ccm can give! Afanyeje sasa kama uwezo wake ndio amefika hapo?
 
he is surviving by using the "cover of his teeth"
 
Mkuu wa mkoa ni muwakilishi wa mkuu wa nchi.Anachokisema kasema mkuu wa nchi.TUNGOJE.
 
Back
Top Bottom