Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wahabari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tiyari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvuu nyingi
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kwa jinsi ambavyo huwa anapenda kutumia neno serikali, nina imani kabisa kuwa haelewi maana halisi ya neno serikali. Ni zuzu sana huyu wala hana mbele wala nyuma. Mwisho wake hauko mbali sana kisiasa.Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wahabari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tiyari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvuu nyingi
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kwel jamaa anabit,ila usishangae kila siku anachezea makofi kutoka kwa mkewe...embu mjambisheni kama hatoki nduki.... Nadhani hiyo familia yake wanaishi kwa taabu sana, sidhani kama ana hata upendo kwa familia yake!
Leo katika siku ya Mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wa habari wawe makini kuandika habari za Serikali vingenevyo wawe tayari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvu nyingi
I don't know kwanini mkoa makini kama huu umepata bahati mbaya ya kumpata mkuu wa mkoa kama huyu...Mr President should think twice and replace him immediate.
Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wahabari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tiyari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvuu nyingi [/QUOTE]
Kumbe Mkuu martin jr na wewe ulikuwepo!
Aisee...Nilidhani ni peke yangu nimemsikia vibaya!...Huyu jamaa analazimisha watu wamfanyie mambo yasiyofaa hapa Arusha!...Ni mambo gani hayo anayojua wanahabari watafanyiwa, au kutesa waandishi ni sera yao nini!
Magesa nakushauri unapokuwa kwenye Public pima maneno unayoongea, coz uongeaji wako sooner or later utakugharimu.
... Martin Jr asiwepo vipi sasa wakati ndo Rais wa jimbo mkuu? usiniambie hujui ID ya Mh. Lema (MB) JF
Niliposikia hayo maneno nilishangaa sana
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Jamaa breakfast yake itakuwa ni kuberi