A2 P
Senior Member
- Mar 22, 2012
- 184
- 43
umesahau mirungi na kilobajamaa breakfast yake itakuwa ni kuberi
umesahau mirungi na kilobajamaa breakfast yake itakuwa ni kuberi
Jamaa breakfast yake itakuwa ni kuberi
Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wahabari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tiyari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvuu nyingi
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Namsindikiza wife ni muandishi wa habari wa gazeti la Arusha Times tunaenda kukutana na mwanasheria wa familia tufungue kesi dhidi ya jamuhuri imemtishia wife uhai wake kama mwanahabari kupitia kauli hii ya kikatili kutoka kwa muwakilishi wa jamuhuri ya tz hapa arusha.Polisi, mmeshamsikia mtesaji wa wanahabari? Kazi kwenu.
Kweli sasa nimeanza kuamini huyu bwana ni mjinga kwani leo katika siku ya mei mosi Mkuu wa mkoa Arusha amesema waandishi wahabari wawe makini kuandika habari za serikali vingenevyo wawe tiyari kuweka roho zao rehani kwani serikali ina nguvuu nyingi
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kwel jamaa anabit,ila usishangae kila siku anachezea makofi kutoka kwa mkewe...embu mjambisheni kama hatoki nduki....
Namsindikiza wife ni muandishi wa habari wa gazeti la Arusha Times tunaenda kukutana na mwanasheria wa familia tufungue kesi dhidi ya jamuhuri imemtishia wife uhai wake kama mwanahabari kupitia kauli hii ya kikatili kutoka kwa muwakilishi wa jamuhuri ya tz hapa arusha.
Kauli ya Mkuu wa mkoa ni kauli ya Jamuhuri.
CC to Bashe, Tundu Lissu, James Millya, Riziwani Kikwete, Rostam Aziz, Mary Chatanda na Mzee Mwanakijiji
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Tutaandamana kweli mpaka mafisadi wote mkimbie nchi.Mi naona Lema ndio awe mkuu wa mkoa....Sipati picha babake....maandamano na mikutano ya hadhara kila kukicha ,kudadeki...