connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,840
- 3,919
- Thread starter
- #21
Gerald Mpwapwa tunakulilia
Vifo vitokanavyo na ajali vinauma Sana
Nyinyi maccm mtakuwa mmemtoa kafara. Hamna maana hata kidogo.Mkuu wa Chuo cha Ualimu Mpwapwa Ndugu Richard Gerald Melkiori amefariki kwa ajali mbaya ya gari wilayani CHAMWINO.
Bwana alitoka, Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.
Familia ipate farajaPoleni Familia.
Aisee!Mkuu wa Chuo cha Ualimu Mpwapwa Ndugu Richard Gerald Melkiori amefariki kwa ajali mbaya ya gari wilayani CHAMWINO.
Bwana alitoka, Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.
Ussilazimishe kuendesha gari kwenda mbali kama huja masta vizur kuendesha muda na masafa marefu.Vifo vitokanavyo na ajali vinauma Sana
Ni mwana chakandumuz damuJe alitia nia kugombea Ubunge kupitia ccm?
Pumba
Umenichekesha sana. Ukitia nia kwa hao jamaa inakuwaje in relation to ajali hii?Je alitia nia kugombea Ubunge kupitia ccm?
Pokea ushauri.Acha ujana na usela kata kundu (kata k).Pumba