SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
RIP Dr GeraldMkuu wa Chuo cha Ualimu Mpwapwa Ndugu Richard Gerald Melkiori amefariki kwa ajali mbaya ya gari wilayani CHAMWINO.
Bwana alitoka, Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.

Noah iwe DFP?daah gari imeiva kama Chapati
ni gari yake au ndo zile dfp?
rip mwalimu
umejuaje ni noah mkuu?Noah iwe DFP?