Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE

Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE

Status
Not open for further replies.
Embu aende zake huko anamtisha nani na stream? Anapenda sana umaarufu huyu.ila wakimfukuza chadema sijui atafanya nn mana sidhan hata kama alisave pesa vya kutosha.tumechoka bana kila siku hadithi ni yeye.mbona wenzie kina mnyika wametulia tu!yeye ana nini cha ziada?kama ni maneno anayoongea wanasiasa wote wanaongea hayo hayo!wamshauri atulie tu hakuna anaebabaika nae bana aah!
 
4 what? the Person is EGO Maniac… Attention seeker # 1; We should be very careful with Isolationists…
All for telling us some people have some dough in Swiss Bank Accounts ??? will he mention all the names or will be BIAS to please the RULING PARTY ???

Kwasababu wote wamejitokeza kumuunga mkono; zaidi hata ya HAMAD na CUF issue...

naona vijana wa kichaga mmekomaa, msiwe na wasi wasi_2014 uchaguzi wa MSM na 2015 Uchaguzi Mkuu sio mbali, mtachakaa na kwambia_mmeboa sana hata wale waliokuwa wanawashabikia hawatatokeza kupiga kura
 
4 what? the Person is EGO Maniac… Attention seeker # 1; We should be very careful with Isolationists…
All for telling us some people have some dough in Swiss Bank Accounts ??? will he mention all the names or will be BIAS to please the RULING PARTY ???

Kwasababu wote wamejitokeza kumuunga mkono; zaidi hata ya HAMAD na CUF issue...

Akisema awataje Mbowe na Ndesamburo hawakosi,mtasema kakihujum chama pia,mpo kma misukule ndan ya cdm hamna uwezo wa kureason,,,buuuuuu
 
Duh DR Kitila nae......I always admire this man.......am still wondering

what the hell is going on !!!!!!!!!!!!!!!1
 
Ni watu wa kufikirika ili mtu mwingine akitaka kuingilia maslahi ya SACCOS yetu aambiwe yeye ndiye MM2 atimuliwe then maisha yaendelee.

Nyerere (R.I.P.) aliona mbali sana kutupiga vita sisi Wachaga.

Aisee,I though ni real names za watu fulan sa zimeweka like Initials.........

so nini hasa kinaendelea CDM....
 
Whatever they say.......hakuna mwanaharakati anaeweza kuwa successful bila umoja na kuaminika kwa watu......
Mwisho wao utaonekana tu......!
 
Akisema awataje Mbowe na Ndesamburo hawakosi,mtasema kakihujum chama pia,mpo kma misukule ndan ya cdm hamna uwezo wa kureason,,,buuuuuu

Huku ndiko ku-reason.....au unafanya kazi ya fortune teller.
 
Aiseeeh !................kumbe bado upo !? Kova amekupa ulinzi au unatembea umefungwa cctv mwili mzima !
Au umejificha kwenye saver za JF jamaa hawakuoni ?!

apewe ulinzi kumbe wewe ndio unayetaka kumdhuru??

cc Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
wanasema nirudi kigomaaa maisha yashanishindaa,na mimi nasema sirudi nakomaa na jiji la dar..ala mama leo ale mama leo......ziiiiitoooo
 
ZZK kama ana nguvu aanzishe chama chake!Unafiki ni mbaya sana!Mimi binafsi nilimtilia mashaka ZZK zamani sana!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
tuwe na subra tusikie atasema nini

je itakuwa saa ngapi?
 
Kazi ipo.....Huyo Zito unafiki mwingi,mfukuzeni hata uanachama ikiwezekana!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom