Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE

Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE

Status
Not open for further replies.
Taarifa ni kuwa mkutano wa Zitto kesho utakuwa streamed LIVE online and on mobile na kutakuwa na streaming tweets

TEAM ZITTO & CO pia watastream huuu mkutano kupitia youtube na tovuti yake


Kwa kuonyesha jinsi gani wanavyojali mazingira copy ya Press statements zitatolewa kwenye website ya ZITTOKABWE.COM hivyo waandishi wasitegemee kuwepo kwa rundo la makaratasi.

Mkutano huu utahudhuriwa na waandishi wa ndani na nje ya nchi.

Stay tuned.

ZITTO ZUBERI KABWE - YouTube

Zitto na Demokrasia | Zitto na Demokrasia

Tusubiri tuone nini kitasemwa...!!
 
Teh teh teh.....Zitto kawapa watu ugonjwa wa akili. Kama huu ujinga wa ukabila ndio yatakuwa mautetezi ya zitto, basi Zitto aachane na siasa tu

Kamanda pole kwa mkesha Mungi anakuja kukupokea sasa hivi!
 
Last edited by a moderator:
CDM wasipoangalia ndo mwisho wao..Hivi hiki chama cha Mtei kinatatizo gani? Mbona Lema anaropoka upuuzi hajasemwa?Kwa hili mmekurupuka na litawamaliza
 
Majority mnaotoa comments either hamjui sayansi ya siasa au mmeamua kupuuzia.

Either we like or hate it's absolute true kwamba Zitto na Mbowe are the two people who know CHADEMA than majority of the members. Hivyo hili Jambo linaweza kuangukia Kwenye mambo mawili moja, Zitto akaamua kuacha CHADEMA bila kutoa Siri za ndani za Chama au akaamua kudestroy everything.

Zitto amekuwa groomed na Mbowe, I remember long time may be 2006 nilimuuliza Zitto why is Mbowe leads wanachadema while wapo watu wengine? ( to disclose I know Mboe than many normal figures and this meeting was specific kurecruit some of us tujiunge CHADEMA for 2010 election) Zitto aliniambia "Mbowe is more than a mkufunzi wangu wa siasa". So, this people know one another for years.

Likewise wengi hamjui who is Dr. Mkumbo, like many of us in mid 2000s CHADEMA recruits many young Tanzanian resides overseas. Kitila is genius political adviser, to my option this guy is belong to world class stage. Kitila architect 2010 strategy which brought joy to CHADEMA.

Now, either tunapenda or not hawa watu wawili can be dangerous for CHADEMA. What I hope ni kwamba CHADEMA wametengeneza missiles shield kuzuia attack from CHADEMA au hili linaweza kuwa headlines ya magazeti for months and that will be costly.
 
Uzuri wa CHADEMA huwa hawakurupuki kila jambo hufanywa kwa umakini mkubwa nina uhakika kabisa zipo sababu za msingi za kumtimua huyu mnafiki na timu yake
Chadema haifi namsikitikia zito huyo kwenye verge ya kuingia kwenye mkumbo wa wanasiasa uchwara njaaa ambao wako tayari kufanya lolote kwa kusaliti chama kwa ajili ya kushibisha matumbo yao
I really pity him
 
ni kweli ukanda na ukabila tu

Nilikuwa Singida, Kanda ya Kaskazini kwenyewe kwenyewe...Si unajua Singida ni kanda ya kaskazini mkuu hahahahaaaa...sasa bana watu wa Singida wamefurahishwa na uamuzi wa kamati kuu....

Nikapanda Basi, kutoka Singida kanda ya Kaskazini hadi Dodoma Kanda ya Kaskazini zaidi. Huko ndio balaa...wana wa kaskazini Dodoma wamekula bia balaa....

Kwenye basi kila abiria ambapo ilikuwa kama coincidence manake tukajikuta Abiria woote hadi mimi Mnyakyusa ni MTU WA KASKAZINI...

Nikashuka Chalinze hapa kwa Kikwete. Si unajua na penyewe ni kaskazini? Hapo vijana walikuwa wanasherehekea....

Nikaingia twita na fesibuku.Duh! 89% ni wakaskazini maana kila niliyemsoma anapinga USALITI....Nikagundua SEVA za twita na Fesibuku zipo MACHAME...

Chadema ni Chama cha Kaskazi Maana hsta Sugu, Rwakatare, Suzan Kiwanga, Machemli, Prof Kahigi, Silinde, Isango woooote ni WAKASKAZINI
 
Last edited by a moderator:
ccm wameifuta tume ya warioba ili wachakachue katiba,sasa washushe umri wa kugombea urais ili kijana wao Zitto Kabwe agombée urais na hatimaye kuwa àmiri jeshi mkuu.Sie tutabaki na wanamapinduzi wa kweli
 
Anafanya sherehe ya kuaga siasa za Tanzania,

Baada ya hapo atarudi kwao Mwandiga kula migebuka tu.

Aiseeeh !................kumbe bado upo !? Kova amekupa ulinzi au unatembea umefungwa cctv mwili mzima !
Au umejificha kwenye saver za JF jamaa hawakuoni ?!
 
Nilikuwa Singida, Kanda ya Kaskazini kwenyewe kwenyewe...Si unajua Singida ni kanda ya kaskazini mkuu hahahahaaaa...sasa bana watu wa Singida wamefurahishwa na uamuzi wa kamati kuu....

Nikapanda Basi, kutoka Singida kanda ya Kaskazini hadi Dodoma Kanda ya Kaskazini zaidi. Huko ndio balaa...wana wa kaskazini Dodoma wamekula bia balaa....

Kwenye basi kila abiria ambapo ilikuwa kama coincidence manake tukajikuta Abiria woote hadi mimi Mnyakyusa ni MTU WA KASKAZINI...

Nikashuka Chalinze hapa kwa Kikwete. Si unajua na penyewe ni kaskazini? Hapo vijana walikuwa wanasherehekea....

Nikaingia twita na fesibuku.Duh! 89% ni wakaskazini maana kila niliyemsoma anapinga USALITI....Nikagundua SEVA za twita na Fesibuku zipo MACHAME...

Chadema ni Chama cha Kaskazi Maana hsta Sugu, Rwakatare, Suzan Kiwanga, Machemli, Prof Kahigi, Silinde, Isango woooote ni WAKASKAZINI

Ni usingizi au viroba?
 
Last edited by a moderator:
Zitto wasikubabaishe haoooooooo, kama vp tuanzishe chama chetu,

au pigania pigania mgombea binafsi kwenye katiba iwepo
 
Zitto akiongea lazima chadema igawanyike...........subirini

movie ndii kwanza inaanza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom