Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE

Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE

Status
Not open for further replies.
zitto mnafiki mkubwa mbona wakati wanahonga hakuwaiti hao waandishi wa habari wa ndani na nje mjinga akili za kuku chezea chadema mwambie akaungane na wale madiwani watano wa arusha wanafiki wenzake
 
yote maisha cdm kama kaianzisha yeye itakufa lakini kama imeanzishwa na umma kwa nguvu za Mungu atashindwa na kulegea asije kutoa machozi kama Kafurila.
 
zitto mnafiki mkubwa mbona wakati wanahonga hakuwaiti hao waandishi wa habari wa ndani na nje mjinga akili za kuku chezea chadema mwambie akaungane na wale madiwani watano wa arusha wanafiki wenzake

nyie hamkuwaita wandishi wa habari?nyani aoni kundure
 
Yaani hamna hata mtu aliepo hapo serena atupe live kinajiri nini hapo?
 
Ushauri wa bure kwa zito kama kweli alikuwa mpigania haki akiwa kiongozi chadema amevuliwa hivyo vyeo na anaona chadema hakuna democlasia kuna ukabila kwenye chama basi hakuna haja ya kuitisha waandishi wa habari anchotakiwa nikuondoka tu akaanzishe chama chake sianasema vijana wako nyumayake? Kwavyovyote vile atakapo endelea kulalama basi ileishu ya kuambiwa anatumiwa na maccccm itajidhihilisha lasimi kuwa alitumika na waliyomtuma yamekwama amebaki kuweweseka
 
zitto ametuhumiwa sana na kila uchao tangu aingie kwenye siasa za tanzania amekuwa ni mtu wa matukio. Nakumbuka mwaka 2002 ndiyo nilimuona zitto kabwe kwa mara ya kwanza.
Ninachoweza kusema watanzania tumekuwa na tabia ya kuhukumu kwa kusikiliza upande mmoja naama imekuwa vyema. Kesho tumsikilize zitto then tutoe hukumu.

Ila kwa siku nzima ya jana na leo nimeongea na watu wengi kutoka mataifa ya afrika na ulaya hapa uturuki kuhusu siasa na mikakati ya kisiasa ya wanasiasa katika nchi zao. Wote wanakiri kwamba lazima katika siasa uweke mikakati ya ushindi, zitto kama kweli ndiye ameendaa waraka tunaousoma kwenye jf anatambua aendako na tanzania iendako. Na kama kamati kuu imemfukuza kwa hili ni vema watu wakajitathmini upya kubaki cdm au kuondoka.

Wasomaji wa sayansi ya siasa watamkumbuka galileo galilei na st thomas of aqunos, wote watambua kwamba viongozi wa juu wa cdm na kamati kuu ya chama wanafuata mfumo wa kikatoliki katika menejimenti ya chama. Yule anayehoji hufukuzwa uanachama na yule anaheshimu mamlaka bila kuhoji ndiyo mtakatifu

zitto tunasubiri maelezo yako ili wengine kama sisi tutoe hukumu juu yako​


​

Dah kazi IPO na yule aliyefukuZwa uanachama znz chama chake maskini kinafuata ukatoliki, kweli elimu haina mwisho na Leo nimepata elimu mpya
 
Ya wananchi gani??

Wa kaskazini au kusini??

Hivi wewe huwa unajijua unachotaka au?? Kila uzi wewe umekazana kaskazini kaskazini, ktk Tanzania hii kuna mahali ulishanyimwa kuishi??
Mbona kama kukuelumisha ni kazi sana.
. . . . . . . tunaonewa, tunanyanyaswa, tuamke sasa ndiyo wewe mmojawapo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom