kifaulongo
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 1,035
- 459
all badthings come to an end but qualitiness remain. that is an end of zzt, no more
utakufa itaiacha chadema..
Hapo sasa..... Ngoma inogile
Huoni kama kufukuzwa kwake kumedhoofisha ccm znz na pia kuyumba kwa muungano ? Usisahau donda la udini lilianza kuibukia hapo
So zito sio lema muuza magari ana ushawishi wake mkubwa
Mkuu hawa UVCCM ndio wamebaki kulalamika,zzt n mwepesi tu!
Mkuu hawa UVCCM ndio wamebaki kulalamika,zzt n mwepesi tu!
all badthings come to an end but qualitiness remain. that is an end of zzt, no more
Shoza alifanya press kwa mbwembwe sana.. ZZK naye anawafuata wezake PM7 mala tu baada ya press
Zitto Kabwe Dr. Kitila Mkumbo kuna mambo watakayaongea kesho yatawasikitisha sana wapenda mabadiliko.
Anafanya sherehe ya kuaga siasa za Tanzania,
Baada ya hapo atarudi kwao Mwandiga kula migebuka tu.
Biashara ya ukanda,udini na ukabila itakomeshwa watake wasitake