udini, ukanda ndo habar ya tanzania
Zitto kaiua chadema mchana kweupe.
naona vijana wa kichaga mmekomaa, msiwe na wasi wasi_2014 uchaguzi wa MSM na 2015 Uchaguzi Mkuu sio mbali, mtachakaa na kwambia_mmeboa sana hata wale waliokuwa wanawashabikia hawatatokeza kupiga kura
Akisema awataje Mbowe na Ndesamburo hawakosi,mtasema kakihujum chama pia,mpo kma misukule ndan ya cdm hamna uwezo wa kureason,,,buuuuuu
HUO NI UKWELI,zitto kaiua chadema mchana kweupe.
ZITTO ANAWEZA KUUAWA KABLA HAJASEMA KITU, ulinzi jamani
Shangilia sasa wewe mwigulu na majina yako ya kuokotezaokoteza kama kawaida ya miccm. Kama kiongozi wa chama tawala umeshinda, hureeeeeeeee! Ila tukianzisha moto wetu usitupige mabomu na kutumwagia tindindikali kama ulivyo fanya kule olasiti, soweto na nzega halafu ukageuza mtaji wako kisiasa. Kifo chako kitakuwa kibaya maana utaumwa sana hautakufa mpaka utakapo kiri yote haya maana ulishatamka kuwa weweza toa ushahidi hata mbinguni.Zitto kaiua chadema mchana kweupe.
Mwambie kuwa kujikwaa siyo kuanguka, a calm down tupo nyuma yake, akileta za uso tutajibu pia. Hana sababu ya kupambana, Mwinyi alishaachia uwaziri lakini baadaye alikuja kuwa mtawala wa nchi. Mwambie kabla hajaongea na waandishi wa habari ayatambue hayo na ajue pia tunajua mengi dhidi yake kama atujuavyo sisi.Ndugu zangu tusipende kutumia falsafa ya maji machafu kidogo kuchafua mengi yalio masafi.
Sina maana ya kumtetea ZT lakini tukumbuke mchango wake katika CDM. Zitto kufanya mengi mazito kaingia kwenye chama wakati mgumu sana (mbowe shahidi). Inauma sana kuona vijana wachanga ktk siasa wakitumia maneno makali dhidi ya mh. zt. Kwangu mm zt bado ni kamanda na tunaweza kuendelea kumtumia ndani ya chama kwa nia ya kuboresha,mbona wengi tunawatumia lkn hawana vyeo ndani ya chama ama bungeni?
Let's be honest kutumia maneno ya kashifa dhidi yake hatumtendei haki.
"Huu ni mtazamo tu"
Kazi ipo.....Huyo Zito unafiki mwingi,mfukuzeni hata uanachama ikiwezekana!!!
Hili ni wazo zuri kwani waliomtuma wanaweza mfanyizia halafu wakasingizia CDM, gharama za usaliti ni pamoja na uhai hasa yule aliyekuwa anakutumia anapogumndua mambo yapo hadharani, ili usiendelee kuwa shahidi muhimu wanakuondoa. Hivyo tunaomba ulinzi wa kutosha kwa huyu ndugu yetu tena wa RED BRIGADE.ZITTO ANAWEZA KUUAWA KABLA HAJASEMA KITU, ulinzi jamani
Who is Zitto by the way?
Mnafiki mkubwa akafie mbali huko
Ametusaliti watz wote sio cDM tuu
Mnafiki na mbakaji wa demokrasia
na ajaribu kuweka mguu Ujerumani tutampa vidonge vyake live
Malipo ni hapa hapa duniani asifikiri atakufa kabla hajalipwa haya yote
Zitto ndo atakayekufa kisiasa sio CDM
CDM ni ya wananchi na sio vingozi akae mbali na CDM yetu
We fyatu, hiyo ndio mtaji kwa ccm kwani wafuasi waliomfuata zzk wote watarudi naye ccm.Leo ndio mnahoji............haihitaji elimu ya kurusha roketi kufahamu kuwa robo tatu ya wafuasi wa chadomo wamevutwa na zzk.
Na ni wachache wenye akili pungufu tu ndio hawatoelewa ni kwa nini zzk anapingwa na uongozi wa kinafiki, wanaokesha kuhubiri mabadiliko ili hali wao wenyewe hawako tayari kwa hayo mabadiliko miongoni mwao.