Mkutano wa kihistoria wa CHADEMA Kahama leo

Mkutano wa kihistoria wa CHADEMA Kahama leo

mkuu magufuli kawashika pabaya sana hao jamaa. jana wamekuja na mbwembwe hapa sijui tobo lisu atafanya mkutano mkubwa kahama lakini nimeangalia ile thread mpaka mwisho sijaona picha. nikajua umedoda. hao misukule wataisoma namba mwaka huu. wapende wasipende Magufuli ndo rais wao ajaye.
sasa hivi wanachofanya ni kuchukua picha za maktaba na kuziweka humu ili kujifariji

kweli we magufuli kakushika pazuri.
 
Tangu J Magufuli chaguo la Watanzani wazalendo ateuliwe kugombea urais kwa kupitia ccm, mwitikio wawatu katika mikutano ya chadema imekuwa chini sana na hakuna nyomi tena kama ilivyozoelezeka mfano tu nimikutano ya chadema iliyofanyika wiki hii Geita, Muleba na Kahama. Uchache na mdororo wawafusi katika mikutano ya cdm kumewafanya makamanda hao kushindwa kabisa kutoa habari na matukio katika picha kuhusu mikutano hiyo ili kuficha aibu. Aibuuuu hata chadema wanashindwa kurusha picha za geita na kahama kweli aibuuuu
Povu la nini we gamba!!? Haya picha za kahama hizi hapa.
 

Attachments

  • 1437533283515.jpg
    1437533283515.jpg
    78.4 KB · Views: 517
Kwamza ni aibu kulinganisha mikutano ya waziri na mbunge....
Hio ya makomeo imetangazwa kila mahali radio tv na msgszeti
 
Jamani mimi nilifika pale kwenye Mkutano wa Lisu jana kama saa kumi na mbili na nusu jioni. Watu walikuwa wengi sana. Nilisogea kwa taabu karibia na jukwaa walau niweze kupiga hata jukwaa kuu japo kwa shida. KAhama kumekucha hatudanganyiki na CCM mwaka huu. Oneni picha chache nilizopiga wakati wanaondoka mkutanoni.
 
Tangu J Magufuli chaguo la Watanzani wazalendo ateuliwe kugombea urais kwa kupitia ccm, mwitikio wawatu katika mikutano ya chadema imekuwa chini sana na hakuna nyomi tena kama ilivyozoelezeka mfano tu nimikutano ya chadema iliyofanyika wiki hii Geita, Muleba na Kahama. Uchache na mdororo wawafusi katika mikutano ya cdm kumewafanya makamanda hao kushindwa kabisa kutoa habari na matukio katika picha kuhusu mikutano hiyo ili kuficha aibu. Aibuuuu hata chadema wanashindwa kurusha picha za geita na kahama kweli aibuuuu

Makufuli ni chaguo la wana ccm,siyo chaguo la watanzania wala husitudanganye wewe,
 
Unajua uandikacho?kesho waweza kikuripuka na kutuletea hadithi ya wazazi wako kukosa picha za kumbukumbu za harusi.leta mambo ya msingi.CDM ni moto mkali.waulize kina nape watakueleza walivyochanganyikiwa wakisikia hilo jina.na sasa wanawasa juu ya goli la mkono.
 
Hakuangalia Chanel 10 jans nini mbona angezimia kabisa wakati alikuwa Lisu na si kutambulisha rasmi
mgombea Urais wa Ukawa mbona mwaka huu magamba kazi mnayo.

Siku hizi magamba posho yao ni kwa jasho,lazima wainange cdm ndio buku 7 zitoke
 
mkuu magufuli kawashika pabaya sana hao jamaa. jana wamekuja na mbwembwe hapa sijui tobo lisu atafanya mkutano mkubwa kahama lakini nimeangalia ile thread mpaka mwisho sijaona picha. nikajua umedoda. hao misukule wataisoma namba mwaka huu. wapende wasipende Magufuli ndo rais wao ajaye.
sasa hivi wanachofanya ni kuchukua picha za maktaba na kuziweka humu ili kujifariji

Inajionyesha kuwa kweli hiyo ID ni yakwakweli kwani ina akisi akili yako
 
Unajua uandikacho?kesho waweza kikuripuka na kutuletea hadithi ya wazazi wako kukosa picha za kumbukumbu za harusi.leta mambo ya msingi.CDM ni moto mkali.waulize kina nape watakueleza walivyochanganyikiwa wakisikia hilo jina.na sasa wanawasa juu ya goli la mkono.

Hajui ndio ametoka kwao kuja kuanza kazi Lumumba ya kufagia baada ya wazoefu kulala mbele kwa kuogopa moto wa cdm,yeye kaamua kujitwisha gunia la misumali
 
hapa ni Tunduma.. mtoa mada anazungumzia Geita na Kahama
Kasema chadema haikubaliki hajaspecify sehemu ila kasema kuonesha haikubaliki wameshindwa kurusha picha za Geita, Kahama na Muleba. Ametumia sample hiyo kuonesha chadema haikubaliki nchi nzima. Inabidi kuelewa lengo la mtoa mada. Angesema chadema haikubaliki Geita, Kahama na Muleba tungemwelewa
 
Magufuli ni kama betri mpya kwenye Gari bovu ambalo altaneta imekufa, litatembea mwendo mchache.
 
[h=2]Mikutano ya chadema hoi bin taaban washindwa kurusha picha za geita na kahama[/h]
Tangu J Magufuli chaguo la Watanzani wazalendo ateuliwe kugombea urais kwa kupitia ccm, mwitikio wawatu katika mikutano ya chademaimekuwa chini sana na hakuna nyomi tena kama ilivyozoelezeka mfano tu nimikutano ya chadema iliyofanyika wiki hii Geita, Muleba na Kahama. Uchache na mdororo wawafusi katika mikutano ya cdm kumewafanya makamanda hao kushindwa kabisa kutoa habari na matukio katika picha kuhusu mikutano hiyo ili kuficha aibu. Aibuuuu hata chadema wanashindwa kurusha picha za geita na kahama kweli aibuuuu​





Hiyo mingine ni mifano tu ambayo mtoa mada alitakiwa alete hizo picha ambazo anasema zinawatu kiduchu na si kubashiri.

Magufuli anazidiwa na Wabunge wa CHaDEMA!. Mgombea wa uraisi itakuwaje?
Huu ni Mkutano wa Kata wa Wenje ambao umefanyika Igogo juzi J'pili baada ya Magufuli kupita Mza, je kama Mkutano mdogo tu wa kata unakusanya watu kiasi hicho je tukifanya Mkutano wa Wilaya itakuaje? Kumbuka hatutumiagi Malori kukusanya watu bali ni nauli yetu au miguu yetu. 1437542224270.jpg
 
Mbavu kabisa mtoa habar sa km hazijatumwa si utume ww na kwanza za ukawa hazikuhusu Tuma za wezi wenzio kenge ww
 
CHADEMA mtazaa nayo tu mwaka huu!! na bado!!! lazima mkae!!
 
Back
Top Bottom