Mkutano wa kihistoria wa CHADEMA Kahama leo

Mkutano wa kihistoria wa CHADEMA Kahama leo

Nani kakwambia kahama watu hawana kazi??? kahama watu wako bize kusaka noti hapo,,, wamwachie nani biashara zao,, watingaji nao huo muda wako PIT,,, wanaorudi wamechoka baada ya kupiga nyundo za kutosha.. Nyie toka mwaka unaanza siasa tu unaisha siasa tu,, toka 2010 baada ya kampeni ni mikutano tu ya siasa sasa kazi mnafanya saa ngapi??
2010 Chadema tulitangaza hatutapumzika tutaishi siasa,tutakula siasa,tutaimba siasa,tutapumua siasa,,na tukasema tutawafundisha ccm nn maana ya siasa,,,nashukuru ccm nao waliuimba wimbo wetu na kuucheza,,tumewapoteza wengi na damu yao inawalilia ccm
WE SHALL OVERCOME
 
Mkuu lisu pitisha fagio la chuma pawe swaafi na wana kahama waujue ukombozi,ili october iwe kazi nyepesi kuifuta ccm kama kufungua soda.
 
We usiefanya siasa post achievements zako tuzione

The worst illiterate is the political illiterate. He hears nothing, sees nothing, and takes no part in political life. He doesn't seem to know that the cost of living, the price of beans, of flour, of rent, of medicines, all depend on political decisions. He even prides himself on political ignorance, sticks out his chest and says he hates politics.

He doesn't know, the imbecile, that from his political non participation comes the prostitute, the abandoned child, the robber and, worst of all, corrupt officials, the lackeys of exploitative multinational corporations.

Berlolt Brecht
 
Na bado kesho viwanja vya Magomeni Kirumba mwaloni vinazizima timu nzima ya CHADEMA iko Mwanza
 
KAHAMA manisipaa
Usiwe wa kwanza kukimbilia kuanzisha uzi alafu baadae unaingia mitini na usikute hata hauishi kahama....
Hii tabia imeshamiri sana hapa jf
Kahama manispaa ktk kuleta habari hii kuna sehemu alipobainisha anaishi Kahama au kuishi sehemu ndo kigezo cha kuleta habari?

 
Tangu J Magufuli chaguo la Watanzani wazalendo ateuliwe kugombea urais kwa kupitia CCM, mwitikio wawatu katika mikutano ya CHADEMA imekuwa chini sana, na hakuna nyomi tena kama ilivyozoelezeka mfano tu ni mikutano ya CHADEMA iliyofanyika wiki hii Geita, Muleba na Kahama.

Uchache na mdororo wawafusi katika mikutano ya CHADEMA kumewafanya makamanda hao kushindwa kabisa kutoa habari na matukio katika picha kuhusu mikutano hiyo ili kuficha aibu.

Aibu hata CHADEMA wanashindwa kurusha picha za Geita na Kahama kweli aibu.
 
Umesema kweli. Si kama hivi, watu kiduchu!!!!!!!!!!!!! Mikutano ya wabunge wa CHADEMA.


attachment.php



attachment.php


11750690_10206128734150408_4998628468766549878_n.jpg






Huu hapa ni Mkutano wa Raisi wa Ccm mkoani Mwanza!. Haijawahi kutokea toka enzi za mwalimu!.
attachment.php



Mwenye macho haambiwi Tazama.

Mr Emmy, ili mikutano ya ccm ifikie kiwango cha CHADEMA, mnatakiwa kusafirisha watu kwa train ili wawe wengi kusudi matamanio yako yafikiwe. Vinginevyo, kazi kubwa sana mnayo. Angalieni msije kuumizwa kwa pressure za wivu na matumaini yasiyofikiwa!.
 
Back
Top Bottom