Mkutano wa kihistoria wa CHADEMA Kahama leo

Nani kakwambia kahama watu hawana kazi??? kahama watu wako bize kusaka noti hapo,,, wamwachie nani biashara zao,, watingaji nao huo muda wako PIT,,, wanaorudi wamechoka baada ya kupiga nyundo za kutosha.. Nyie toka mwaka unaanza siasa tu unaisha siasa tu,, toka 2010 baada ya kampeni ni mikutano tu ya siasa sasa kazi mnafanya saa ngapi??
Ndiyo shida ya "vyama vya msimu". Kama sikosei kuna kiongozi mmoja alikiita CHADEMA chama cha msimu.
 
Mkuu Abunuas acha kupotosha,haya niambie hii ni ya wapi!!? Km huamini waulize wanaccm wenzio wa kahama watakuambia hapo wapi. Hii nayo ni ya jana kahama.
kwanza nitake radhi kwa sababu mimi sio mwana ccm. mimi ni mtanzamaji tu japo kwenye kapu la kura sikosi.
pili, ni kuwa mnajichanganya. fungua huu uzi utakuta picha nyingi sana za sehemu tofauti tofauti, kuna hata zingine za tunduma humu. katika hali ya kawaida utaelewa nini hapo hata kama ungekuwa wewe?
 
Mbona umeongea kwa hasira hivyo? You should read between the lines! Wewe umeona nimesifia hiyo mitaro? Mitaro imegeuka majalala mvua zikinyesha barabara zinaziba unadhani zimekidhi viwango? Be reflective and respond to issues critically!

Sawa.Kwa kifupi tu.suala la mitaro kujeuka majalala sio ishu ya kisera ni ishu ya jamii husika na usafi wa mazingira.Kukidhi viwango inategemea na budget ya ujenzi yenyewe ilikuwa imelenga barabara iwe na kiwango kipi na si kila barabara hafifu imefisadiwa nyingine ndo ilipangwa iwe hivyo kulingana na budget iliyotengewa lakini suala la kuziwezesha halmashauri ziwe na fund za kutosha ni jukumu la serikali kuu ambayo huongozwa na vyama vya siasa kupitia ilani na ndio maana nikasema ipo haja ya sasa kufanya mabadiliko. Sasa nawe kuwa reflective and respond critically then tuunganishe tupate kitu kizuri yangu ni hayo tu.
 
Ndiyo shida ya "vyama vya msimu". Kama sikosei kuna kiongozi mmoja alikiita CHADEMA chama cha msimu.

mkuu watu wamegeuza siasa ajira halafu wanawadangadanganya watanzania wenzao tu,,,
 
2010 Chadema tulitangaza hatutapumzika tutaishi siasa,tutakula siasa,tutaimba siasa,tutapumua siasa,,na tukasema tutawafundisha ccm nn maana ya siasa,,,nashukuru ccm nao waliuimba wimbo wetu na kuucheza,,tumewapoteza wengi na damu yao inawalilia ccm
WE SHALL OVERCOME

mkuu endelea kufanya siasa ndio sehemu yako ya maisha,,,, ishi siasa,kula siasa, imba siasa,pumua siasa kaka....maana wewe ndio kafara yao halafu unadanganywa unapigania ukombozi........
 
Nawashangaa Lembeli na Ester, hivi hawayaoni yaliyowapata zitto Mutungirehi shelembi Lukona Masinde na shibuda bado munaingia kingi tu. 60% ya kura ziko Mwanza Geita shinyanga simiyu na Tabora waulizeni wabunge viti maalumu kutoka mikoa hiyo ni wangapi? Ndio maana hawa jamaa hawakatiki Mwanza Geita kahama na shinyanga. sasa wanawatumia nyie kama bendera fuata upepo bila nyie kujijua, subirini wapate wanachokitafuta ndo mtawajua rangi zao halisi.

Lissu anatia propaganda za kijinga za ukabila na nyie hamshituki tu, hivi mkoje nyie achene ujinga.
 
Uko sahihi ila umesahau kitu kimoja kwamba kwa kanda ya ziwa mtu mwenye nguvu ya ajabu ni Dr. Slaa tu..... Dr. Slaa ndio mwanasiasa anayeweza kujaza uwanja wa Kirumba....
 
Watakuwa wamekusikia. Pengine kesho watarudi ccm kama madiwani wa Monduli!
 
Uko sahihi ila umesahau kitu kimoja kwamba kwa kanda ya ziwa mtu mwenye nguvu ya ajabu ni Dr. Slaa tu..... Dr. Slaa ndio mwanasiasa anayeweza kujaza uwanja wa Kirumba....

watu walikuja kumsikiliza Lembeli akiwataja waliomwomba rushwa huko ccm badala yake kaleta porojo, mwambie arudi kesho kama atapata hao watu, kwanza kijimkutano kilikuwa uchochoroni kirumba mwaloni.
 
Nadhani mleta mada asili yako itakuwa huko ambako watu hugombana sababu ya ukabila.
 
Jinga wewe...kwa hiyo wewe una akili sana kuliko wao? wewe unajua baba yako hadi kumuoa mama yako aliwaacha wapenzi na wachumba wangapi?
 
ondoa ukabila hapa.adui yetu ni ccm hatujalishi nani kawa nani.?Kama hawajitokezi kugombea wapewe tu ubunge na kwa njia zipi?

Nawashangaa Lembeli na Ester, hivi hawayaoni yaliyowapata zitto Mutungirehi shelembi Lukona Masinde na shibuda bado munaingia kingi tu. 60% ya kura ziko Mwanza Geita shinyanga simiyu na Tabora waulizeni wabunge viti maalumu kutoka mikoa hiyo ni wangapi? Ndio maana hawa jamaa hawakatiki Mwanza Geita kahama na shinyanga. sasa wanawatumia nyie kama bendera fuata upepo bila nyie kujijua, subirini wapate wanachokitafuta ndo mtawajua rangi zao halisi.

Lissu anatia propaganda za kijinga za ukabila na nyie hamshituki tu, hivi mkoje nyie achene ujinga.
 
Hua nawashangaa mnaposema wasukuma washamba kwa taarifa yenu sie ni wajanja ila ni wakimya hua tunaongea kwa vitendo katika kudhihirisha hilo tunaenda kuionyesha ccm kwamba wasukuma sio mnavyowafikiria chadema iko ndani ya dam na sio machoni kwa watu kum......nina.
 
kauli ya Mwl bana ni hatari sana. mkisha wabagua kwa ukabila wataondoka, na wakishaondoka hamtabaki salama, mtakosa wa kuwabagua na mtaanza kubaguana kwa ukoo,..........
 
Nawashangaa Lembeli na Ester, hivi hawayaoni yaliyowapata zitto Mutungirehi shelembi Lukona Masinde na shibuda bado munaingia kingi tu. 60% ya kura ziko Mwanza Geita shinyanga simiyu na Tabora waulizeni wabunge viti maalumu kutoka mikoa hiyo ni wangapi? Ndio maana hawa jamaa hawakatiki Mwanza Geita kahama na shinyanga. sasa wanawatumia nyie kama bendera fuata upepo bila nyie kujijua, subirini wapate wanachokitafuta ndo mtawajua rangi zao halisi.

Lissu anatia propaganda za kijinga za ukabila na nyie hamshituki tu, hivi mkoje nyie achene ujinga.

Hakika wewe ni hamnazo wawezekana kuna anayefikiria kwa niaba yako
 
watu walikuja kumsikiliza Lembeli akiwataja waliomwomba rushwa huko ccm badala yake kaleta porojo, mwambie arudi kesho kama atapata hao watu, kwanza kijimkutano kilikuwa uchochoroni kirumba mwaloni.

Kama ni uchochoron muulize Masha yeye ndio anaufahamu vizuri kuliko wewe.
 
nawashangaa lembeli na ester, hivi hawayaoni yaliyowapata zitto mutungirehi shelembi lukona masinde na shibuda bado munaingia kingi tu. 60% ya kura ziko mwanza geita shinyanga simiyu na tabora waulizeni wabunge viti maalumu kutoka mikoa hiyo ni wangapi? Ndio maana hawa jamaa hawakatiki mwanza geita kahama na shinyanga. Sasa wanawatumia nyie kama bendera fuata upepo bila nyie kujijua, subirini wapate wanachokitafuta ndo mtawajua rangi zao halisi.

Lissu anatia propaganda za kijinga za ukabila na nyie hamshituki tu, hivi mkoje nyie achene ujinga.
kkwani chadema waliwashikia kisu akina lembeli na ester ili wahamie ccm? Wamehama kwa sababu zao binafsi sidhani kama hoja yako ina tija
 
Back
Top Bottom