Mkutano wa kihistoria wa CHADEMA Kahama leo

Mkutano wa kihistoria wa CHADEMA Kahama leo

Joined
Jul 20, 2015
Posts
15
Reaction score
15
Leo kutakuwa na mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo manispaa ya Kahama.

Tundu Lissu atanatarajia kuhutubia wananchi pamoja na kuwasimika rasmi baadhi ya walio kuwa makada wa CCM ili kujiunga na jeshi la ukombozi.

Wanachama hao wapya wanaongozwa na Mh.James Lembeli( mwanamalia).

Mkutano huo utafanyika viwanja vya CDT Mjini Kahama.

Updates: 16:29
Wanabody,mwanasheria mkuu wa CHADEMA ndo anaingia muda huu hapa Kahama mjini. Haya ndo mapokezi yake.
Ntaendelea kuwaletea picha zote za hapa mkutanoni.
attachment.php

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php

 
Kazi ya Ukombozi inaendelea na kasi imeongezeka maana ndio safari ya Ukombozi yakaribia mwisho hivyo.
 
Kamanda uwe unatupia updates za mkutano huu wa kihistoria
 
Kila la heri viongozi wetu wa Chadema naona Lembeli anakuja kwenye ukombozi #CHADEMA bado Esther Bulaya
 
KAHAMA manisipaa
Usiwe wa kwanza kukimbilia kuanzisha uzi alafu baadae unaingia mitini na usikute hata hauishi kahama....
Hii tabia imeshamiri sana hapa jf
 
Last edited by a moderator:
Viva makamanda,sisi tuko mbali lakini tunategemea mtupie tupicha na tu-updates ili magamba waone..pamoja sana
 
Back
Top Bottom