Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
kweli mkuu Magufuli ni chaguo la KITENGO!Makufuli ni chaguo la wana ccm,siyo chaguo la watanzania wala husitudanganye wewe,
kweli mkuu Magufuli ni chaguo la KITENGO!Makufuli ni chaguo la wana ccm,siyo chaguo la watanzania wala husitudanganye wewe,
kweli mkuu Magufuli ni chaguo la KITENGO!
mbavu kabisa mtoa habar sa km hazijatumwa si utume ww na kwanza za ukawa hazikuhusu tuma za wezi wenzio kenge ww
nazani wew haukuwepo geita ndo maana unasema ni aibu,mkutano ulifulika kama wa magufuli
kweli mkuu magufuli ni chaguo la kitengo!
Mwambie aje Mwanza aone balaa lake manake shughuli zote zitasimama kwa muda
Chadema ni chaguo la WanaGeita hata aje nan .Hongera Lissu
Na Magufuli kabila lake ni CCM .chaguo la watanzania ni CHADEMA