Mkutano wa kihistoria wa CHADEMA Kahama leo

Mkutano wa kihistoria wa CHADEMA Kahama leo

Ccm kwa kuhubiri SIASA za dini NA ukabila !!,

Walisema CHADEMA ya wachagga ...baadaye ya Kaskazini ....Baadaye ya Wakristo

SASA wanasema wasukuma waondoke ..wakienda Mbeya wakipokelewa mtasema Wanyaks waondoke

Lakini SASA ni KILA mahala ..tayari CHADEMA kimekua Chama cha Kitaifa ...KILA mahala kipo !!!
 
Jana kwenye kujiandikisha KILA MTU Ana hasira NA ccm ...anachukua KADI kwa hasira ..SIO Oysterbay ..Kigogo ..Mbagala kote
 
Nawashangaa Lembeli na Ester, hivi hawayaoni yaliyowapata zitto Mutungirehi shelembi Lukona Masinde na shibuda bado munaingia kingi tu. 60% ya kura ziko Mwanza Geita shinyanga simiyu na Tabora waulizeni wabunge viti maalumu kutoka mikoa hiyo ni wangapi? Ndio maana hawa jamaa hawakatiki Mwanza Geita kahama na shinyanga. sasa wanawatumia nyie kama bendera fuata upepo bila nyie kujijua, subirini wapate wanachokitafuta ndo mtawajua rangi zao halisi.

Lissu anatia propaganda za kijinga za ukabila na nyie hamshituki tu, hivi mkoje nyie achene ujinga.

Heri ya Chadema kwa Wasukuma kuliko ccm ambayo serikali yake imeuza madini kwa wawekezaji badala ya madini yale kujenga Mikoa ya Mwanza,Shinyanga, Simiyu na Geita,matokeo yake madini yale yanatumika kujenga miji ya Afrika kusini na Canada. katika Mikoa ya Tanzania amabyo ilitakiwa iwe tofauti kimaendeleo na mikoa mingine ni mikoa ya kanda ya ziwa. Ingekuwa mbali kimaendeleo kuliko mkoa mwingine wowote. Chakushangaza Mikoa kama ya Shinyanga,Geita na Simiyu haina tofauti na mikoa ya Dodoma na Singida ambayo haina Dhahabu wala almasi. Hii yote ni kutokana na sera mbovu za serikali ya ccm ambayo viongozi wake wameingia mikataba mibovu na wawekezaji matokeo yake wasukuma wanaachiwa mashimo tupu na huko tuendako hata maeneo ya kuchungia ng'ombe wao watakosa kama wakiendelea kuikumbatia ccm.
Mikoa ya kanda ya ziwa haikutakiwa kuwa vile kutokana na madini waliyonayo ya dhahabu na almasi. Nitashangaa kama kuna msukuma ambayo ana mapenzi na ccm na wakati anaachiwa mashimo matupu tu dhahabu yote na almasi zinajenga miji ya Canada na Afrika kusini. Shitukeni watani zangu ccm ni sawa na nyoka mwenye sumu kali. Chukulia mfano hayo madini yangekuwa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro,ile miji ingekuwa kama ya Ulaya au kama Cairo na Capetown. CCM siyo ya kuikumbatia tena, wameua kilimo cha pamba na viwanada vyake, wanauza madini sasa na maeneo ya kuchunga ng'obe nayo wanapewa wawekezaji nyie mnabaki kwenda kugombana na makabila mengine pindi mnapotafuta sehemu za kuchunga na kufuga ng'ombe wenu.
FANYENI MABADILIKO SIYO MIAKA ZAIDI YA 50, MADINI HAYANA FAIDA KWENU NA HATIMA UFUGAJI WA MIFUGO INAZIDI KUBINYWA NA WATU WA CCM.
 
Ccm mabingwa Wa kugawa watanzania kwa ukabila,udini na ukanda jumlisha na umaskini mpo kazini tunawacheki
 
Wako radhi kumzushia mtu jambo lolote lile ili mradi wapate Kura wanafiki wanafiki wakubwa kwa mukstakabali Wa umoja Wa nchi
 
Ccm mabingwa Wa kugawa watanzania kwa ukabila,udini na ukanda jumlisha na umaskini mpo kazini tunawacheki

Tundu Lissu ndo kaleta ukabila kwenye siasa, anayetafuta kabila la Magufuli ni nani? kama sio Tundu Lissu.
 
Heri ya Chadema kwa Wasukuma kuliko ccm ambayo serikali yake imeuza madini kwa wawekezaji badala ya madini yale kujenga Mikoa ya Mwanza,Shinyanga, Simiyu na Geita,matokeo yake madini yale yanatumika kujenga miji ya Afrika kusini na Canada. katika Mikoa ya Tanzania amabyo ilitakiwa iwe tofauti kimaendeleo na mikoa mingine ni mikoa ya kanda ya ziwa. Ingekuwa mbali kimaendeleo kuliko mkoa mwingine wowote. Chakushangaza Mikoa kama ya Shinyanga,Geita na Simiyu haina tofauti na mikoa ya Dodoma na Singida ambayo haina Dhahabu wala almasi. Hii yote ni kutokana na sera mbovu za serikali ya ccm ambayo viongozi wake wameingia mikataba mibovu na wawekezaji matokeo yake wasukuma wanaachiwa mashimo tupu na huko tuendako hata maeneo ya kuchungia ng'ombe wao watakosa kama wakiendelea kuikumbatia ccm.
Mikoa ya kanda ya ziwa haikutakiwa kuwa vile kutokana na madini waliyonayo ya dhahabu na almasi. Nitashangaa kama kuna msukuma ambayo ana mapenzi na ccm na wakati anaachiwa mashimo matupu tu dhahabu yote na almasi zinajenga miji ya Canada na Afrika kusini. Shitukeni watani zangu ccm ni sawa na nyoka mwenye sumu kali. Chukulia mfano hayo madini yangekuwa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro,ile miji ingekuwa kama ya Ulaya au kama Cairo na Capetown. CCM siyo ya kuikumbatia tena, wameua kilimo cha pamba na viwanada vyake, wanauza madini sasa na maeneo ya kuchunga ng'obe nayo wanapewa wawekezaji nyie mnabaki kwenda kugombana na makabila mengine pindi mnapotafuta sehemu za kuchunga na kufuga ng'ombe wenu.
FANYENI MABADILIKO SIYO MIAKA ZAIDI YA 50, MADINI HAYANA FAIDA KWENU NA HATIMA UFUGAJI WA MIFUGO INAZIDI KUBINYWA NA WATU WA CCM.

Migodi ya dhahabu inafungwa December Lembeli alikuwa wapi kuwatetea ndugu zake hadi anasubiri dhahabu inakwisha, Ndugu zake wanakunywa maji ya sumu yeye akiwa mwenyekiti wa mazingira kashindwa kuwatetea sasa huko chadema anataka kuwadanganya nini?
 
Tangu J Magufuli chaguo la Watanzani wazalendo ateuliwe kugombea urais kwa kupitia CCM, mwitikio wawatu katika mikutano ya CHADEMA imekuwa chini sana, na hakuna nyomi tena kama ilivyozoelezeka mfano tu ni mikutano ya CHADEMA iliyofanyika wiki hii Geita, Muleba na Kahama.

Uchache na mdororo wawafusi katika mikutano ya CHADEMA kumewafanya makamanda hao kushindwa kabisa kutoa habari na matukio katika picha kuhusu mikutano hiyo ili kuficha aibu.

Aibu hata CHADEMA wanashindwa kurusha picha za Geita na Kahama kweli aibu.
Kama wangekuwa hawana shughuliya kufanya wangeposti hiyo mikutano ya makufuli! Ila ninachojua mimi, walikuwa busy kuchonga masterkey itakayofungua makufuli yote ya chumba chenye pombe! Kazi kwenu.
 
Kidole kimoja hakivunji chawa,kule ccm alikosa support na vile vile si yeye ndiyo kaingia mkataba nao, ni waziri ndiyo kaingia mkataba nao. yeye kama yeye hata angepiga kelele vipi ndani ya mfumo wa ccm huwezi fanya lolote. Hata huyu Magufuli utaona utendaji wake akiwa rais na alivyokuwa waziri utakuwa tofauti na watu hawata amini. Chukulia mfano JK alivyokuwa waziri na alivyoingia kwenye Urais ndiyo utajua ccm ni weiz tu wa rasilimali za umma.
 
Back
Top Bottom