Tangu J Magufuli chaguo la Watanzani wazalendo ateuliwe kugombea urais kwa kupitia CCM, mwitikio wawatu katika mikutano ya CHADEMA imekuwa chini sana, na hakuna nyomi tena kama ilivyozoelezeka mfano tu ni mikutano ya CHADEMA iliyofanyika wiki hii Geita, Muleba na Kahama.
Uchache na mdororo wawafusi katika mikutano ya CHADEMA kumewafanya makamanda hao kushindwa kabisa kutoa habari na matukio katika picha kuhusu mikutano hiyo ili kuficha aibu.
Aibu hata CHADEMA wanashindwa kurusha picha za Geita na Kahama kweli aibu.
nani aende kusikiliza unafiki wao kwanza wakajisafisha na uchafu wao wa mwembeyanga ndo waje kwetu kanda ya ziwa,
huku wanafiki hatuwaitaji kwao wanapajia waende uko.