Mkutano wa kihistoria wa CHADEMA Kahama leo

watu wagumu kuelewa nasema kahama na geita ha ha ha wapi mkutano wa kihistoria kahama mjini chezea upepo wa magufuli
 
Mtoa mada mbona kama mipasho?Hebu kajifunze namna ya kuandika thread ambayo GT wa JF wanaweza jadili
 
Umesema kweli. Si kama hivi, watu kiduchu!!!!!!!!!!!!!

attachment.php

attachment.php

11750690_10206128734150408_4998628468766549878_n.jpg

Hii Tunduma kabla ya mgombea JP Magufuli kutangazwa!Silinde alienda kuaga Tunduma!
 
Tangu J Magufuli chaguo la Watanzani wazalendo ateuliwe kugombea urais kwa kupitia ccm, mwitikio wawatu katika mikutano ya chadema imekuwa chini sana na hakuna nyomi tena kama ilivyozoelezeka mfano tu nimikutano ya chadema iliyofanyika wiki hii Geita, Muleba na Kahama. Uchache na mdororo wawafusi katika mikutano ya cdm kumewafanya makamanda hao kushindwa kabisa kutoa habari na matukio katika picha kuhusu mikutano hiyo ili kuficha aibu. Aibuuuu hata chadema wanashindwa kurusha picha za geita na kahama kweli aibuuuu

Kama ww uliudhuria weka ushahidi hapa tuone kama kweli
 
hapa ni Tunduma.. mtoa mada anazungumzia Geita na Kahama
[h=2]Mikutano ya chadema hoi bin taaban washindwa kurusha picha za geita na kahama[/h]
Tangu J Magufuli chaguo la Watanzani wazalendo ateuliwe kugombea urais kwa kupitia ccm, mwitikio wawatu katika mikutano ya chademaimekuwa chini sana na hakuna nyomi tena kama ilivyozoelezeka mfano tu nimikutano ya chadema iliyofanyika wiki hii Geita, Muleba na Kahama. Uchache na mdororo wawafusi katika mikutano ya cdm kumewafanya makamanda hao kushindwa kabisa kutoa habari na matukio katika picha kuhusu mikutano hiyo ili kuficha aibu. Aibuuuu hata chadema wanashindwa kurusha picha za geita na kahama kweli aibuuuu​

Hiyo mingine ni mifano tu ambayo mtoa mada alitakiwa alete hizo picha ambazo anasema zinawatu kiduchu na si kubashiri.

Magufuli anazidiwa na Wabunge wa CHaDEMA!. Mgombea wa uraisi itakuwaje?
 
Hii Tunduma kabla ya mgombea JP Magufuli kutangazwa!Silinde alienda kuaga Tunduma!

Mkuu picha za CHADEMA ni nyingi na zinaumati usioelezeka kila mahali. Sasa mtoa mada kwa kuwa kaona kuna watu wachache pahala, ATOE HIZO PICHA ZA WACHACHE ALOZIONA YEYE TUJADILI. Sisi kwenye archive, hakuna picha za wachache na hatuwezi kutoa kitu kisichokuwepo. Tuna za wengi ndizo hizi.

Za wachache unazosisema Mr. Emmy; tunaziomba hapa chapu chapu. Lete mara moja ili usomeke. Vinginvyo, tutakuita mpiga ramli.
 
[h=2]Mikutano ya chadema hoi bin taaban washindwa kurusha picha za geita na kahama[/h]
Tangu J Magufuli chaguo la Watanzani wazalendo ateuliwe kugombea urais kwa kupitia ccm, mwitikio wawatu katika mikutano ya chademaimekuwa chini sana na hakuna nyomi tena kama ilivyozoelezeka mfano tu nimikutano ya chadema iliyofanyika wiki hii Geita, Muleba na Kahama. Uchache na mdororo wawafusi katika mikutano ya cdm kumewafanya makamanda hao kushindwa kabisa kutoa habari na matukio katika picha kuhusu mikutano hiyo ili kuficha aibu. Aibuuuu hata chadema wanashindwa kurusha picha za geita na kahama kweli aibuuuu​

Hiyo mingine ni mifano tu ambayo mtoa mada alitakiwa alete hizo picha ambazo anasema zinawatu kiduchu na si kubashiri.

Magufuli anazidiwa na Wabunge wa CHaDEMA!. Mgombea wa uraisi itakuwaje?

Acha longo longo Tundu Lissu kafunika Kahama nyomi ya kufa mtu nimejaribu kurusha picha zimegoma ila kama unaweza ingia fb kacheki nimerusha za kutosha
 
Mbona umeongea kwa hasira hivyo? You should read between the lines! Wewe umeona nimesifia hiyo mitaro? Mitaro imegeuka majalala mvua zikinyesha barabara zinaziba unadhani zimekidhi viwango? Be reflective and respond to issues critically!
Sio kila barabara ni za tanroad mie naona kama ni ya halmashauri vile?Acha mbwembwe ushabiki na misifa ambayo kwa hali ya kiuchumi,kisiasa na kijamii ilivyosasa inapaswa ujifikirie mara mbilimbili hata kama sio kwa faida yako kwa faida ya watoto wako na hata wajukuu.MUDA WA MAAMUZI NI SASA NA MABADILIKO NI LAZIMA
 
mkuu magufuli kawashika pabaya sana hao jamaa. jana wamekuja na mbwembwe hapa sijui tobo lisu atafanya mkutano mkubwa kahama lakini nimeangalia ile thread mpaka mwisho sijaona picha. nikajua umedoda. hao misukule wataisoma namba mwaka huu. wapende wasipende Magufuli ndo rais wao ajaye.
sasa hivi wanachofanya ni kuchukua picha za maktaba na kuziweka humu ili kujifariji

Tangu J Magufuli chaguo la Watanzani wazalendo ateuliwe kugombea urais kwa kupitia ccm, mwitikio wawatu katika mikutano ya chadema imekuwa chini sana na hakuna nyomi tena kama ilivyozoelezeka mfano tu nimikutano ya chadema iliyofanyika wiki hii Geita, Muleba na Kahama. Uchache na mdororo wawafusi katika mikutano ya cdm kumewafanya makamanda hao kushindwa kabisa kutoa habari na matukio katika picha kuhusu mikutano hiyo ili kuficha aibu. Aibuuuu hata chadema wanashindwa kurusha picha za geita na kahama kweli aibuuuu
 
Ni kweli wana cdm mmetunyima uhondo safari ya mikutano ya geita na kahama. Hebu mleta mada wewe tuletee
 
hapa ni Tunduma.. mtoa mada anazungumzia Geita na Kahama
Kwani Tunduma ipo Zambia na haipo Tanzania?

Kwa kuwa mtoa mada, hoja yake kubwa ni kuwa tokea Magufuli ateuliwe na chama chake cha magamba kupeperusha bendera kwa nafasi hiyo ya Urais, mahudhurio ya wananchi kwenye mikutano ya Chadema 'popote nchini' yamekuwa kiduchu, ndiyo maana umewekewa baadhi ya picha ambazo makamanda nchi nzima wanavyozidi kuwapandisha presha maccm.

Hapo hajaweka picha ya kule Iringa mjini ambako Mchungaji Msigwa alipowahutubia wapiga kura wake ni kama vile shughuli zote siku hiyo zilisimama kabisa mjini hapo.

Kwa kweli mwaka huu inabidi Sisiemu wapokee ushauri waliowahi kupewa na JK kuwa inabidi wajiandae kisaikolojia kuweza kuwakabidhi dola wapinzani kwa njia ya amani pale matokeo yatakapotolewa kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu.
 
Tangu J Magufuli chaguo la Watanzani wazalendo ateuliwe kugombea urais kwa kupitia ccm, mwitikio wawatu katika mikutano ya chadema imekuwa chini sana na hakuna nyomi tena kama ilivyozoelezeka mfano tu nimikutano ya chadema iliyofanyika wiki hii Geita, Muleba na Kahama. Uchache na mdororo wawafusi katika mikutano ya cdm kumewafanya makamanda hao kushindwa kabisa kutoa habari na matukio katika picha kuhusu mikutano hiyo ili kuficha aibu. Aibuuuu hata chadema wanashindwa kurusha picha za geita na kahama kweli aibuuuu

Mwenezi weka namba ya whatsapp nikurushie nikuhakikishie ushawi Wa mgombea Wa CCM na chama chenu hammufikii hata Peter Msigwa anavyo jaza watu..ngoja tumalize uchaguzi
 
Back
Top Bottom