mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,172
Hawa jamaa wana roho ndogo usiwaone hivyo huwa wanaamua tu kujitoa ufahamu humu nimewasomaaa weee jamaa ni waoga.
Chikuntetem
Na huyo mwezio kwa kweli nijisikia vibaya sana kuniita gamba.. Nina kadi ya Chadema toka 2012 na sijawahi kucomment kitu kibaya kwa chama changu, kama vipi view hata profile yangu...
Mnitake radhi makamanda wangu
KAHAMA manisipaa
Usiwe wa kwanza kukimbilia kuanzisha uzi alafu baadae unaingia mitini na usikute hata hauishi kahama....
Hii tabia imeshamiri sana hapa jf
Na bado...tutachakaza mpaka Monduli...
Mimi katika hizi picha nimeona mitaro ya barabara za jembe Magufuli:glasses-nerdy:!
Wanabody,mwanasheria mkuu wa CHADEMA ndo anaingia muda huu hapa Kahama mjini. Haya ndo mapokezi yake.
Ntaendelea kuwaletea picha zote za hapa mkutanoni.
![]()
leo kutakuwa na mkutano wa chama cha demokrasia na maendeleo manispaa ya kahama.
Tundu lissu atanatarajia kuhutubia wananchi pamoja na kuwasimika rasmi baadhi ya walio kuwa makada wa ccm ili kujiunga na jeshi la ukombozi.
Wanachama hao wapya wanaongozwa na mh.james lembeli( mwanamalia).
Mkutano huo utafanyika viwanja vya cdt mjini kahama.
updates: 16:29
Nani kakwambia kahama watu hawana kazi??? kahama watu wako bize kusaka noti hapo,,, wamwachie nani biashara zao,, watingaji nao huo muda wako PIT,,, wanaorudi wamechoka baada ya kupiga nyundo za kutosha.. Nyie toka mwaka unaanza siasa tu unaisha siasa tu,, toka 2010 baada ya kampeni ni mikutano tu ya siasa sasa kazi mnafanya saa ngapi??