chura mweusi
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 394
- 89
Mkutano utaanza saa ngapi? Magambaz wasije mkutanoni
KAHAMA manisipaa
Usiwe wa kwanza kukimbilia kuanzisha uzi alafu baadae unaingia mitini na usikute hata hauishi kahama....
Hii tabia imeshamiri sana hapa jf
njoo CDT leo ujionee,maana Magamba huwa ni wabishi sana.
Hapa Kahama makamanda tuko kibao tutashirikiana kutoa updates kila mkutano unavyoendelea, simu yangu iko full charge na power bank kwa pembeni, jiandae kuona nyomi kuanzia saa tisa alasiri tutarusha kila kitu. Stay tuned.
Mkutano utaanza saa ngapi? Magambaz wasije mkutanoni
Unaanza kudharau siasa baada ya kuona meli yenu inazama?Nani kakwambia kahama watu hawana kazi??? kahama watu wako bize kusaka noti hapo,,, wamwachie nani biashara zao,, watingaji nao huo muda wako PIT,,, wanaorudi wamechoka baada ya kupiga nyundo za kutosha.. Nyie toka mwaka unaanza siasa tu unaisha siasa tu,, toka 2010 baada ya kampeni ni mikutano tu ya siasa sasa kazi mnafanya saa ngapi??
Chikuntetem
Na huyo mwezio kwa kweli nijisikia vibaya sana kuniita gamba.. Nina kadi ya Chadema toka 2012 na sijawahi kucomment kitu kibaya kwa chama changu, kama vipi view hata profile yangu...
Mnitake radhi makamanda wangu
Unaanza kudharau siasa baada ya kuona meli yenu inazama?