Mkutano wa kihistoria wa CHADEMA Kahama leo

Mkutano wa kihistoria wa CHADEMA Kahama leo

Yaani kama vile nilijua, leo ndio nimefika kahama kutoka NZEGA...lazima nihudhurie huo mkutano wa Ukombozi wa kweli.
 
Chikuntetem
Na huyo mwezio kwa kweli nijisikia vibaya sana kuniita gamba.. Nina kadi ya Chadema toka 2012 na sijawahi kucomment kitu kibaya kwa chama changu, kama vipi view hata profile yangu...

Mnitake radhi makamanda wangu

Majembe yakiwa pamoja hayakosi kugonga..Usijali kamanda tuendelee kuyashughulikia magamba.
 
Kama ukawa wanata ushindi basi huyu Lembeli ni sahihi kwa Kahama. Sio fisadi ndio maana CCM wanamuogopa.
 
Kwahiyo ameenda CHADEMA ili agombee ubunge ama?? basi kama ni hivyo sawa!!
 
Wanabody,mwanasheria mkuu wa CHADEMA ndo anaingia muda huu hapa Kahama mjini. Haya ndo mapokezi yake.
Ntaendelea kuwaletea picha zote za hapa mkutanoni.
attachment.php
 

Attachments

  • 1437485227030.jpg
    1437485227030.jpg
    78.4 KB · Views: 15,663
kila la kheli makamanda mpaka maccm yajifiche na ufisadi wao
 
Back
Top Bottom