PreGE2025 Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora

PreGE2025 Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
wametumwa. acha hasira za waTanganyika ziendelee kufurika. Hakuna atakayebaki salama.
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama John Heche.

CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu Mwenyekiti John Heche, aidha wakati hayo yanatokea jeshi la polisi halikuwepo eneo la tukio.
 
Yaani unaakili timamu unatumwa kwenda kuvuruga mkutano na wewe unaenda.Hakuna mtu anaweza kuanzisha tu vurugu bila kutumwa na mtu
muwe wavumilivu, musigwa kazomewa udom alikuwa mtulivu na hakupaniki sasa nyie kuzomewa kidogo mnaanza kupiga watu
 
Aloo wakifika huku naanda sime ole wake mtuu anibughuzi mkutanoni
 
Kweli machadema wameishiwa hoja baada ya kushinda na hoja moja bila kueleza mipanga ya uzalishaji mali au maendeleo watafanya mbinu ipi kubadili maisha ya watu, wanaamuwa kutuma wenzao kujijeruhi wasingizie wengine! Hovyo kabisa hawa
Mimi sio mfuasi wala mkereketwa wa Chadema lakini hapa haingii akilini toka wameanza mikutano hawajawahi kufanya fujo.Je nani mnufaika wa hizo fujo? Vijana wasitumike kwenye mambo ya kipumbavu.
 
Kuna greencard mmoja amevaa t shirt nyekundu nimeona amekula ngumi na teke hadi kapoteza uelekeo nyambafu!!
Kwanza kapigwa jiwe la mgongo hajasimama vizuri kakutana na upper cut
 
Mimi sio mfuasi wala mkereketwa wa Chadema lakini hapa haingii akilini toka wameanza mikutano hawajawahi kufanya fujo.Je nani mnufaika wa hizo fujo? Vijana wasitumike kwenye mambo ya kipumbavu.
Mbona wao waliwatuma vijana kule Mara wakawafanyia vurugu CHAUMA!!? Au hilo pia hukuliona!!?
 
muwe wavumilivu, musigwa kazomewa udom alikuwa mtulivu na hakupaniki sasa nyie kuzomewa kidogo mnaanza kupiga watu
Mzee mimi sijawaha na wala sina undugu na Chadema lakini ni lazima tukemee upuuzi.Unaweza kuwa CCM au Chadema au Act au usiwe upande wowote lakini usipojitambua unaweza tumika vibaya na ukaporeza uhai wako huku waliokutumia watahani laki moja tu kwenye familia yako.
 
Wakati Nehemiah anajenga ukuta walikuwepo maadui akina Sanbarati na Tobia walichofanya mkono mmoja alijenga mwingine ukashika panga aka siraha. Naomba viongozi wa CHADEMA tumieni mbinu hii. Polisi wakifika wakute majeruhi wawapeleke hospitali.
 
Huyo mwenye black ngumi aliyoirusha inatakiwa itumike kwenye practical za vyuo vikuu vyote vya ngumi...
halafu kakijana kenyewe hata afya hakana tena kamefuatwa kado mbali, hivi kweli ccm watume vijana ndo itawatuma hao kweli, heche aache mambo yakipumbavu
 
Wakati Nehemiah anajenga ukuta walikuwepo maadui akina Sanbarati na Tobia walichofanya mkono mmoja alijenga mwingine ukashika panga aka siraha. Naomba viongozi wa CHADEMA tumieni mbinu hii. Polisi wakifika wakute majeruhi wawapeleke hospitali.
Naunga mkono hoja
 
  • Thanks
Reactions: J C
Wakati Nehemiah anajenga ukuta walikuwepo maadui akina Sanbarati na Tobia walichofanya mkono mmoja alijenga mwingine ukashika panga aka siraha. Naomba viongozi wa CHADEMA tumieni mbinu hii. Polisi wakifika wakute majeruhi wawapeleke hospitali.
mnachochea moto?
 
Jamaa mwenye kaunda sutu kampiga mtu ngumi ya sugunyo jamaa fasta kapeleka mkono mdomon kuangalia yamebaki meno mangapi😂😂😂😂 ngumi ya kibabe kapewa
 
Wazee wa reform ni wakuhurumiwa tu maana hawajui hata nini wanataka, na hii ndo faida ya kutumia hasira badala akili.
Dawa ni hiyo Polisi waendelee kukaa mbali na mikutano ya chadema maana Chadema hawana imani na polisi na wanasema ni watekaji , kwahiyo ni muhimu zaidi kuendelea kuwa nao mbali kama hivi wasiende kutoa ulinzi wowote kwenye hiyo mikutano
 
mnachochea moto?
Unaweza kuhudhuria mkutano wa CCM ukafanya fujo au kupiga kelele za kupinga?. Ukidundwa nini kitakuwa kumekupeleka?. Tumia ubongo kufikiri ndugu mjumbe.
 
Back
Top Bottom