PreGE2025 Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora

PreGE2025 Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
halafu mkifirwa muanze kuwasingizia polisi, mumewasha moto msituni subirini moto ukolee
downloadfile-10.jpg

Hizo tabia ziko ccm. Ni nani aliyeanzisha moto. Hawo vijana wenu mnaowatuma mnawapoteza. Bila ya policcm hamna uwezo wowote.
 
Nimeshtushwa sana na habari hii, inamaana washambuliaji hawajali ulinzi mkali ambao huwaga unatolewa na jeshi la Polisi kwenye mikutano hiyo? Na je, wamekamtwa tayari na chombo kwa kufanya fujo?
 
Unatumikishwa hivi kuwajeruhi watu na bado upo kwenye wimbi la umasikini. Mtu mwenye kazi zake na kipato chake hawezi kutumwa kufanya upuuzi huu. Watanzania aisee, unatengenezewa life gumu ili uagizwe kufanya upuuzi kwa malipo ya vijisenti vya kula siku 1 huku kesho hujui utaimalizaje
Ukiwa manaccm automatically unakuwa mtu wa ajabu ajabu.
 
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama John Heche.

CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu Mwenyekiti John Heche, aidha wakati hayo yanatokea jeshi la polisi halikuwepo eneo la tukio.

Unasema kama umeshindiliwa mpini huko matakoni! Hata kufahamu kuwa polisi ndiyo wamepewa kikatiba na kisheria kulinda wananchi hujui? Liambie Bunge litoe ruhusa watu kujilinda katika mikutano ya hadhara uone kama itashindikana!
Hiyo si ndio michezo yenu mnayoipenda mnafanya fujo ili mkamatwe mkakutane na mabasha zenu PT .
 
Unasema kama umeshindiliwa mpini huko matakoni! Hata kufahamu kuwa polisi ndiyo wamepewa kikatiba na kisheria kulinda wananchi hujui? Liambie Bunge litoe ruhusa watu kujilinda katika mikutano ya hadhara uone kama itashindikana!
Mnapenda sana kutekwa kumbe kuna michezo mnafanyiwa ndio maana mnashindwa kuvumilia uraiani
 
Yaani wawe na vijana walio fit kwa kutuliza wajinga. Wakipiga mawe kwa mbali wasijihusishe nao ila wakikaribia viongozi au ndani ya mkutano kuleta fujo wadhibitiwe kwa mujibu wa sheria za ubinadamu
Sure
 
Hao mbwa kabisa mijitu inatumiwa kama Kondom ni wa kunyoooshwa kabisa!!!

No Reform No ELECTION
 
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama John Heche.

CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu Mwenyekiti John Heche, aidha wakati hayo yanatokea jeshi la polisi halikuwepo eneo la tukio.
Mbona naona chadema kwa chadema wanapigana
 
Back
Top Bottom