PreGE2025 Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora

PreGE2025 Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani jeshi la polisi linatakiwa kuwepo kwa kuaminiwa au kama wajibu?
We unataka vipi kulindwa na polisi mnaosema ndo watekaji mnataka wawepo ili wawateke au?
 
Hao nyumbu wakishaishiwa hoja hawachokagi kusababisha uzushi.
Akishapatikana mmoja na kuuliwa mtatia akili. Na itabidi iwe hivyo maana nyinyi ccm hamna uwezo wa kushindana kwa hoja bila ya kufanya vurugu na kutumia taasisi ili mbaki mlipo.
 
Ccm mnazid kulitia aibu taifa hili
Makamu Mwenyekiti yupo ziaran pia na Katibu mwenezi wakijinasibu kujibu porojo zilizoachwa na Chadema huko walikopita
Sasa je kipi kinachowawasha had kwenda kuvuruga mikutano yao ?
 
Kuna ngumi za heavyweight za watu wawili jamaa zote zimemwangukia
 
Hapo polisi wangekuwepo alafu hizo vurugu zingetokea wangesema polisi ndo wameleta vurugu
Wazee wa reform ni wakuhurumiwa tu maana hawajui hata nini wanataka, na hii ndo faida ya kutumia hasira badala akili.
 
We unataka vipi kulindwa na polisi mnaosema ndo watekaji mnataka wawepo ili wawateke au?
Wapo kama wajibu maana wanalipwa mshahara ambayo ni kodi zetu kwa kazi hiyo. Hatuwezi kukaa kimya kwa wao kushiriki uhalifu, ili watupe ulinzi kama hisani.
 
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama John Heche.

CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu Mwenyekiti John Heche, aidha wakati hayo yanatokea jeshi la polisi halikuwepo eneo la tukio.
poleni wanachadema fisiemu dawa imewaingia sana hawana hoja ya kujibu no reforms no election
 
Ukistaajabu ya Mussa , hawa jamaa nao kuna angle huwa hawaeleweki wanataka nini
Unasema kama umeshindiliwa mpini huko matakoni! Hata kufahamu kuwa polisi ndiyo wamepewa kikatiba na kisheria kulinda wananchi hujui? Liambie Bunge litoe ruhusa watu kujilinda katika mikutano ya hadhara uone kama itashindikana!
 
kwa jinsi picha zinavyoonekana hawa vijana walienda kusikiliza sera za heche, kunabhuyu mwenye tshirt nyekundu kafuatwa akiwa mbali na kuanza kushambuliwa na kama angeenda pale kwa nia ovu alikuwa na nafasi ya kuchoropoka. huyu mzee aliyepigwa mdomo siamini kama ni mlinzi wa heche labda ni kwa ajili ya mambo ya kishirikina.
 
Unasema kama umeshindiliwa mpini huko matakoni! Hata kufahamu kuwa polisi ndiyo wamepewa kikatiba na kisheria kulinda wananchi hujui? Liambie Bunge litoe ruhusa watu kujilinda katika mikutano ya hadhara uone kama itashindikana!
Nyie si mnawaita policcm!! Mkaenda mbali zaidi mkasema eti mnajilinda wenyewe!! Kiko wapi?
 
Hapana!..tueleze kwa nini chadema haiwezi kuwa na maofisa wa chama wanatangulia eneo la mkutano na kufanya surveillance ili kubaini watu wenye nia ya kuleta fujo? Kwa hiyo kwenu ni vzr zaidi kutoa taarifa za watu kuumizwa badala ya kutoa taarifa ya kudhibiti wafanya fujo..?
Hawana huo uwezo kisheria
 
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama John Heche.

CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu Mwenyekiti John Heche, aidha wakati hayo yanatokea jeshi la polisi halikuwepo eneo la tukio.
Yaani unaakili timamu unatumwa kwenda kuvuruga mkutano na wewe unaenda.Hakuna mtu anaweza kuanzisha tu vurugu bila kutumwa na mtu
 
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama John Heche.

CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu Mwenyekiti John Heche, aidha wakati hayo yanatokea jeshi la polisi halikuwepo eneo la tukio.
Kuna greencard mmoja amevaa t shirt nyekundu nimeona amekula ngumi na teke hadi kapoteza uelekeo nyambafu!!
 
Akishapatikana mmoja na kuuliwa mtatia akili. Na itabidi iwe hivyo maana nyinyi ccm hamna uwezo wa kushindana kwa hoja bila ya kufanya vurugu na kutumia taasisi ili mbaki mlipo.
halafu mkifirwa muanze kuwasingizia polisi, mumewasha moto msituni subirini moto ukolee
 
Back
Top Bottom