Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,167
- 162,602
CCM siasa za ushindani zilishawashinda.
Unatiki, utakuwepo sasa!?NO REFORMS ON ELECTION OCTOBER TUNA TIKI
Mnavunjana miguu wenyewe, mnasingizia watu, anyway , hao walioumia wakumbuke miaka ya nyuma kuna watu walipata ulemavu wa kudumu kwa ajili ya akina Lema, mwisho hawakusaidiwa chochote wao wenyewe wala familia zao! Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Pole.CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama John Heche.
CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu Mwenyekiti John Heche, aidha wakati hayo yanatokea jeshi la polisi halikuwepo eneo la tukio.
Kweli machadema wameishiwa hoja baada ya kushinda na hoja moja bila kueleza mipanga ya uzalishaji mali au maendeleo watafanya mbinu ipi kubadili maisha ya watu, wanaamuwa kutuma wenzao kujijeruhi wasingizie wengine! Hovyo kabisa hawa!Hao nyumbu wakishaishiwa hoja hawachokagi kusababisha uzushi.
Ni sirikali ya Nani iliyopo madarakani wakati haya matukiiCHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama John Heche.
CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu Mwenyekiti John Heche, aidha wakati hayo yanatokea jeshi la polisi halikuwepo eneo la tukio.
Hapana!..tueleze kwa nini chadema haiwezi kuwa na maofisa wa chama wanatangulia eneo la mkutano na kufanya surveillance ili kubaini watu wenye nia ya kuleta fujo? Kwa hiyo kwenu ni vzr zaidi kutoa taarifa za watu kuumizwa badala ya kutoa taarifa ya kudhibiti wafanya fujo..?Nchi imefika patamu sana
Hawa wanaopewa agizo la kwenda kufanya fujo kwenye mkutano wanakuwa wamepewa na bangi si ndiyo? Mana unajua kabisa kule mnapoenda wapo wengi, nyie wachache, hivyo hatari ya kupigwa wachache ni kubwa sana, labda kana wanapelekwa wenye mafunzo ya ukomando!CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama John Heche.
CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu Mwenyekiti John Heche, aidha wakati hayo yanatokea jeshi la polisi halikuwepo eneo la tukio.
Hawa tumewadhibiti na ndio maana Mapanga yao tumeyakamataHapana!..tueleze kwa nini chadema haiwezi kuwa na maofisa wa chama wanatangulia eneo la mkutano na kufanya surveillance ili kubaini watu wenye nia ya kuleta fujo? Kwa hiyo kwenu ni vzr zaidi kutoa taarifa za watu kuumizwa badala ya kutoa taarifa ya kudhibiti wafanya fujo..?
Baada ya hapo waliokuwa hawaambulii hata jero ya tonetone 😆 😆CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama John Heche.
CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu Mwenyekiti John Heche, aidha wakati hayo yanatokea jeshi la polisi halikuwepo eneo la tukio.
Kwani jeshi la polisi linatakiwa kuwepo kwa kuaminiwa au kama wajibu?Jeshi la polisi si hamliamini mnataka liwepo eneo la tukio kwaajili ya nini?
Waanze kusema wamewateka hahah hawa jamaa akali kisoda. Chama kina wajinga haijawahi kutokea.Jeshi la polisi si hamliamini mnataka liwepo eneo la tukio kwaajili ya nini?
Jeshi la polisi mnasema linawabaka na kuwafira au uko na kamemory cha 1 kb.Kwani jeshi la polisi linatakiwa kuwepo kwa kuaminiwa au kama wajibu?
Kazi nzuri km hiyo vyema ikasemwa kwanza kwa umma kuliko kuonyesha watu wanavuja damu..hizo hazina ujumbe mzuri kwa chama sabb itaonekana kwamba ni hatari kuhudhuria mikutano ya chadema..onyesheni picha za wahalifu walivyodhibitiwa zaidi kuliko majeruhi!Hawa tumewadhibiti na ndio maana Mapanga yao tumeyakamata
Hapo polisi wangekuwepo alafu hizo vurugu zingetokea wangesema polisi ndo wameleta vuruguWaanze kusema wamewateka hahah hawa jamaa akali kisoda. Chama kina wajinga haijawahi kutokea.