Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,306
- 271,610
Nchi imefika patamu sana
We bwege kwl, wananchi ndio akina nani.CCM jiangalieni,
wananchi tupo wengi zaid yenu nyie watekaji
Nani amminye nani, we ni zuzu kwlKwann wasikamatwe hata wawili wafinywe waeleze aliyewatima
Hatuchezi, na Oktoba Hakuna wa KutikiNO REFORMS ON ELECTION OCTOBER TUNA TIKI
Ni muda wananchi nao waje na mapanga yao tu sasa.CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama John Heche.
CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu Mwenyekiti John Heche, aidha wakati hayo yanatokea jeshi la polisi halikuwepo eneo la tukio.
sasa mtakuwa wasiojulikana,Kwann wasikamatwe hata wawili wafinywe waeleze aliyewatima
Toeni taarifa Police mapema iwezekanavyo.chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya igunga mkoani Tabora,watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama john heche.
CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu mwenyekiti john heche, aidha wakati hayo yana tokea jeshi la polisi halikuwepo eneo la tukio.View attachment 3363059
Kukulamba makofiJeshi la polisi si hamliamini mnataka liwepo eneo la tukio kwaajili ya nini?
Kenge wa ndaniWe bwege kwl, wananchi ndio akina nani.
Wewe ni pimbi kweliHao nyumbu wakishaishiwa hoja hawachokagi kusababisha uzushi.
Ficha ujinga wako hata mara moja moja!Jeshi la polisi si hamliamini mnataka liwepo eneo la tukio kwaajili ya nini?
Sijui walimuokota wapi! Hafai kabisa.hivi Brenda Rupia yuko wapi sikuhizi, au ndo bado anauguza mdomo
Jibu swali acha ngonjeraFicha ujinga wako hata mara moja moja!
Week hii litatolewa tamko kusitisha ziara ya CHADEMA kisingizio kulinda amaniCHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama John Heche.
CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu Mwenyekiti John Heche, aidha wakati hayo yanatokea jeshi la polisi halikuwepo eneo la tukio.