Mkutano wa Freeman Mbowe mjini Kahama

Mkutano wa Freeman Mbowe mjini Kahama

Kila jambo litakuwa sawa na UKAWA...CCM wana hofu kubwa kila wakisikia Ukawa

Muda wote wanawaza kusikia au kuona UKAWA ukivunjika...UKAWA hautavunjika Kwa sababu Watanzania wanataka mshikamano wa kuiondoa CCM madarakani..
 
Safi sana, Chadema ni mpango wa Mungu
 
Safi sana, Chadema ni mpango wa Mungu

Mkuu POMPO nimezidi kuichukia CCM baada ya Mkuu wa Wilaya na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kahama kuiba vijiko na Sukari na unga wa sembe wa wahanga.
 
Last edited by a moderator:
Ccm siku zinavyokwenda wanapoteza mvuto wananchi wanalalamika wabunge wao wamewatelekeza na hawataki kuwasikiliza wananchi wao nikuchukua hela serekalini nakufanya mambo yao.. wameapa box la kura litawatoa
 
kwakeli mkutano wa mwanza last Sunday bado unanishangaza kabisa

mi nafanyia shughuli hapa mjni kati lakini sikusikia gari ya matangazo ila nilienda uwanjani watu walijaa hadi pomoni nikabaki najuiliza walijuaje?

maana hata mi kama si jf singejua
 
picha atoe wapi tarifa za kubumba? Gari 120 zmetoka wap?au kaunganisha na gari za abiria wa kahama.

kulicji;
Unasoma uzi gani?? Jamaa kasema alipokelewa na Pikipiki au (Tukutuku) 120+ wewe unasema kasema magari 120?? Jamani tatizo la shuke za kata ndo hilo. Watu kusoma kiupande upande. Poleni
 
Mkuu POMPO nimezidi kuichukia CCM baada ya Mkuu wa Wilaya na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kahama kuiba vijiko na Sukari na unga wa sembe wa wahanga.
Mkuu Mzito Kabwela nipe hiyo Tarifa ya mkuu wa wilaya kiundani
 
Last edited by a moderator:
MKUU NI YA KWELI HAYA??.. YAANI WALIUZA MAGODORO NA VYAKULA SASA WANAUZA HADI MAJANI YA CHAI?? DAAAHH HII SASA NI LAAANA.. KWA HESHIMA KUBWA TAARIFA HIZI ZIFIKE LUMUMBA kwa, Vuta Ni Kuvute...funza, dada Laki Si Pesa, mjepo, Ritz, Wingu, Juliana wa Kufyozwa, Faiza Foxy (kwenye dini yetu ile wizi unaruhusiwa??), taswira, Wingu, Rejao....eta all................[ QUOTE=Mzito Kabwela;12102977]Mkuu Crashwise, mkuu wa Wilaya na Mwenyekiti wa CCM Kahama wameiba chumvi na blue band za wahanga wa Mafuriko.[/QUOTE]
 
MKUU NI YA KWELI HAYA??.. YAANI WALIUZA MAGODORO NA VYAKULA SASA WANAUZA HADI MAJANI YA CHAI?? DAAAHH HII SASA NI LAAANA.. KWA HESHIMA KUBWA TAARIFA HIZI ZIFIKE LUMUMBA kwa, Vuta Ni Kuvute...funza, dada Laki Si Pesa, mjepo, Ritz, Wingu, Juliana wa Kufyozwa, Faiza Foxy (kwenye dini yetu ile wizi unaruhusiwa??), taswira, Wingu, Rejao....eta all................[ QUOTE=Mzito Kabwela;12102977]Mkuu Crashwise, mkuu wa Wilaya na Mwenyekiti wa CCM Kahama wameiba chumvi na blue band za wahanga wa Mafuriko.
[/QUOTE]

Ccm inazidi kujivua nguo katikati ya soko
 
Wakuu.

Leo unafanyika mkutano mkubwa wa hadhara kanda ya Serengeti hapa jimbo la Kahama. Ni mkutano ulioandaliwa na kanda ya Serengeti kabla ya kikao cha kamati tendaji ya kanda.

Kanda hii inaundwa na mikoa ya Mara, shinyanga na mkoa mpya wa simiyu.

Nitawajuza punde....

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Yaani hapo Nepi leo lazima awe Pampers! Eti nimejionea jinsi upinzani unavyokufa pande zote za Tanzania! Pumba.vvv!

Wasukuma tukiwa tunataka kushangaa wingi Wa watu huwa tunauliza "ahene ung'wenuyu munhu babhehi?" Maanake hapo vichwa vya watu vimetuchanganya kwa wingi wake!!
 
Mkuu ukawa hasa chadema nami huwa nashangaa sana mikutano yao huwa haitangazwi kwa sana yaani kigari kinaweza pita mara moja tu basi, utashangaa ukifika uwanjani watu wamejaaa, nilikuwa kigoma kikazi mwaka jana dec, mbowe, mohamed mtoi, na salumu mwalimu walikuja, kwa kweli nilistuka tu baada ya kuona watu wamevaaa mizura (kofia) fulana zile za chadema etc wakielekea viwanja maarufu hapo kigoma vinaitwa mwanga, dahh sikuamini kufika pale watu wamejaaa balaaa na watu wametulia tulii wanasikiliza madini, nilishngaaa sana.. Yaani hoteli niliyokuwa jioni hiyo walibaki wahudumu tu, wageni woote walitoka kwenda kwenye huo mkutano.. Natamani sana watu watambue thamani ya kura zao, yaani hata kura moja tu inweza badilisha matokeo kama ambavyo katika mpira kila dakika ni muhimu kuitumia vizuri...mungu asaidie watanzania tujue thamani ya kupiga kura...[ quote=marire;12103027]kwakeli mkutano wa mwanza last sunday bado unanishangaza kabisa

mi nafanyia shughuli hapa mjni kati lakini sikusikia gari ya matangazo ila nilienda uwanjani watu walijaa hadi pomoni nikabaki najuiliza walijuaje?

Maana hata mi kama si jf singejua[/quote]
 
MKUU NI YA KWELI HAYA??.. YAANI WALIUZA MAGODORO NA VYAKULA SASA WANAUZA HADI MAJANI YA CHAI?? DAAAHH HII SASA NI LAAANA.. KWA HESHIMA KUBWA TAARIFA HIZI ZIFIKE LUMUMBA kwa, Vuta Ni Kuvute...funza, dada Laki Si Pesa, mjepo, Ritz, Wingu, Juliana wa Kufyozwa, Faiza Foxy (kwenye dini yetu ile wizi unaruhusiwa??), taswira, Wingu, Rejao....eta all................[ QUOTE=Mzito Kabwela;12102977]Mkuu Crashwise, mkuu wa Wilaya na Mwenyekiti wa CCM Kahama wameiba chumvi na blue band za wahanga wa Mafuriko.
[/QUOTE]

Mkuu kwenye cc yako umemtaja Rejao? Kwani bado yuko hai huyu?
 
kwakeli mkutano wa mwanza last Sunday bado unanishangaza kabisa

mi nafanyia shughuli hapa mjni kati lakini sikusikia gari ya matangazo ila nilienda uwanjani watu walijaa hadi pomoni nikabaki najuiliza walijuaje?

maana hata mi kama si jf singejua

Kamanda Marire ndio Maana tunasema Chadema nimpago wa Mungu. Hata usiposikia kengele jumapili kanisani lazima utakua unajua nisiku ya ibada
 
picha atoe wapi tarifa za kubumba? Gari 120 zmetoka wap?au kaunganisha na gari za abiria wa kahama.

Kumbe ndiyo maana maccm wako na mpango wa kumwondosha Duniani Daktari Slaa maana amponi kwa mwendo huu
 
MKUU EBU ELEZA VIZURI, REJAO HATUKO NAYE TENA KWELI?? MMHH.. EBU FAFANUA VIZURI.. NI KITAMBO KWELI SIJAMUONA HUMU.. LABDA NIMUULIZE MZEE TUPA TUPA....?? MAANA YEYE NDIYE AMEWANUNULIA TABLET PAMOJA NA KUTENGENEZA ID ZA VIJANA WOTE WA LUMUMBA WANAZOTUMIA HUMU JF KUTETEA WEZI NA MAJAMBAZI WA RASILI MALI ZETU (CCM)....

Mkuu kwenye cc yako umemtaja Rejao? Kwani bado yuko hai huyu?[/QUOTE]
 
Amewataka wananchi wa Kanda ya Serengeti (imebadilishwa kutoka Ziwa Mashariki), kujiandaa kufanya Kama walivyofanya Makambako ambako wananchi walikuwa wanaamka usiku wa manane kupanga foleni kuwahi kujiandikisha

Mkuu Crashwise, hii ratiba kama inatuhusu na sisi Wa Shinyanga mjini tuelezeni jamani tusije tukakosa uhondo! Kesho kamanda mkuu atakuwa hapa mjini?
 
MKUU EBU ELEZA VIZURI, REJAO HATUKO NAYE TENA KWELI?? MMHH.. EBU FAFANUA VIZURI.. NI KITAMBO KWELI SIJAMUONA HUMU.. LABDA NIMUULIZE MZEE TUPA TUPA....?? MAANA YEYE NDIYE WAMEWANUNULIA TABLET PAMOJA NA KUTENGENEZA ID ZA VIJANA WOTE WA LUMUMBA WANAZOTUMIA HUMU....

Mkuu kwenye cc yako umemtaja Rejao? Kwani bado yuko hai huyu?
[/QUOTE]

Acheni utani? Rejao amefariki?
 
Last edited by a moderator:
Mbowe waziri mkuu wetu uyu,magogon ni dr.slaa na makamu wake lipumba,speaker ni marando,sheeeeeeda
lissu mkuu wa sheria
 
Back
Top Bottom