Mkutano wa Freeman Mbowe mjini Kahama

Mkutano wa Freeman Mbowe mjini Kahama

Cdt mbona pafinye sana pale,kama watu ni wengi angeweka uwanja wa taifa.

hao si watu wengi kivile
 
Kazi kwenu majizi,mauaji,mafisadi,wala rushwa wa Lumumba.
Cc. Msalani,Ritz,mjepo,thatha,rutashobolwa,simiyu, laki si pesa na wengine wenye hulka kama hawa.
 
picha atoe wapi tarifa za kubumba? Gari 120 zmetoka wap?au kaunganisha na gari za abiria wa kahama.

ndo unategemea kua na familia wewe!?yani unapost ujinga tu,unadhani chadema wanaletaga fisi uanjani kama ccm?mjinga wewe.
 
Wakuu.

Leo unafanyika mkutano mkubwa wa hadhara kanda ya Serengeti hapa jimbo la Kahama. Ni mkutano ulioandaliwa na kanda ya Serengeti kabla ya kikao cha kamati tendaji ya kanda.

Kanda hii inaundwa na mikoa ya Mara, shinyanga na mkoa mpya wa simiyu.

Nitawajuza punde....



attachment.php

attachment.php

attachment.php

Msisahau kuwakumbushia kujiandikisha.Msiridhike na watu kujaa kwenye mikutano.Umuhimu kujiandjkisha.Pamoja na mizengwe ya CCM, hata ikibidi kununua kadi ya CCM kama ndiyo kigezo cha kujiandikisha wanunue tu mradi tupate wapiga kura wengi wa kutosha.
 
Chadema ni Noma kinana jitokeze uangalie umati na hao wote wanampango wa kujiandikisha raha sana.
 
naona maroli yaliyoleta wasikilizaji uwanjani kwa nyuma hapo.
 
'Tanzania kuna demokrasia.....tena..tena wapinzani wanafanya mikutano mingi kuliko chama tawala'....jk akisema siku za karibuni. Ninamtaka atumie ukuu wake kutuakikishia watanzania wote wenye sifa za kujiandikisha watakuwa wamendikwa ifikapo tar 30/4/2015 tayari kuikataa katiba ya Chenge na tayari kupiga kura uchaguzi mkuu...30 Oct. Aspofanya hivyo apelekwe tume ya maadili.
 
updates

Mkiti amesema suala la kushiriki kupiga kura uchaguzi Mkuu mwaka huu ni agenda ya kudumu Kwa kila Mtanzania mpenda mabadiliko
Amewataka Watanzania kutambua kuwa uchaguzi huanza Kwa kujandikisha hivyo walichukulie suala la kujiandikisha Kwa ajili ya kupiga kura uchaguzj wa mwaka huu ni suala la kufa na kupona
Amesema kuwa kazi ambayo Chadema ilifanya Makambako ya kuhamasisha wananchi kwenda kujiandikisha Kwa wingi itafanyika nchi nzima kuhakikisha kila mmoja mwenye Sifa; kijana, mwanamke, Mzee wanatoka kwenda kujiandikisha
 
Mkiti amesema suala la kushiriki kupiga kura uchaguzi Mkuu mwaka huu ni agenda ya kudumu Kwa kila Mtanzania mpenda mabadiliko
 
Amesema kuwa kazi ambayo Chadema ilifanya Makambako ya kuhamasisha wananchi kwenda kujiandikisha Kwa wingi itafanyika nchi nzima kuhakikisha kila mmoja mwenye Sifa; kijana, mwanamke, Mzee wanatoka kwenda kujiandikisha
 
Amewataka wananchi wa Kanda ya Serengeti (imebadilishwa kutoka Ziwa Mashariki), kujiandaa kufanya Kama walivyofanya Makambako ambako wananchi walikuwa wanaamka usiku wa manane kupanga foleni kuwahi kujiandikisha
 
Kila jambo litakuwa sawa na UKAWA...CCM wana hofu kubwa kila wakisikia Ukawa
 
Muda wote wanawaza kusikia au kuona UKAWA ukivunjika...UKAWA hautavunjika Kwa sababu Watanzania wanataka mshikamano wa kuiondoa CCM madarakani
 
Wakati wao wanahangaika kutaka kumuua Dr. Slaa chaguo la watanzania, sisi tunaendelea kuwasiliana na kuzungumza na watanzania wenzetu ili tuunganishe nguvu ya kuwaondoa madarakani hawa waroho ambao wamnapora rasilimali zetu kila kukicha.

Ahsanteni sana ndugu zangu wa kanda ya Serengeti kwa kuwaonyesha watanzania jinsi Chadema ilivyojiandaa kuwatumikia watanzania kwa roho safi na moyo wa upendo na uzalendo.
 
Amewataka wananchi wa Kanda ya Serengeti (imebadilishwa kutoka Ziwa Mashariki), kujiandaa kufanya Kama walivyofanya Makambako ambako wananchi walikuwa wanaamka usiku wa manane kupanga foleni kuwahi kujiandikisha
 
Mkuu wa Wilaya ameiba hadi majani ya Chai ya wahanga wa Mafuriko! CCM mnatisha!
 
Back
Top Bottom