Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,421
- 283,665
Duh! noma sana !
walichokiona leo waki na lembeli na mwenzake maige kimewaacha kinywa wazi kwa kweli mji ulisimama gafla mbowe alipoingia mjini watu ni wengi sana sasa ivi ndo tunaelekea uwanjani siditii!
niko uwanjani watu wametokeza niwengi sana na watu wamekasirishwa sana naserekali yakifisadi
cc. Chadema kwanza, molemo
mambo mazuri namna hii, huu mwaka ni wa ushindi tu.
picha atoe wapi tarifa za kubumba? Gari 120 zmetoka wap?au kaunganisha na gari za abiria wa kahama.
ccm wanasomba watu kwa kuwatongoza kwanza kuwa watawalipa pesa na chakula wakijitokeza kwenye uwanja wao wa mkutano.
Chadema ndio chama cha Watanzania. ccm wachakavu sana. wananchi wamewachoka mbaya sana.