Mkutano wa Freeman Mbowe mjini Kahama

Mkutano wa Freeman Mbowe mjini Kahama

MKUU EBU ELEZA VIZURI, REJAO HATUKO NAYE TENA KWELI?? MMHH.. EBU FAFANUA VIZURI.. NI KITAMBO KWELI SIJAMUONA HUMU.. LABDA NIMUULIZE MZEE TUPA TUPA....?? MAANA YEYE NDIYE WAMEWANUNULIA TABLET PAMOJA NA KUTENGENEZA ID ZA VIJANA WOTE WA LUMUMBA WANAZOTUMIA HUMU....

Mkuu kwenye cc yako umemtaja Rejao? Kwani bado yuko hai huyu?
[/QUOTE]

Hata mimi nilikuwa naulizia tu Mkuu maana zamani alivyokuwaga na kiherehere! Lakini sasa hivi nina miaka sijamsikia wala kumwona hapa JF! Sasa kama mtu uko hai utaachaje kuonekana hapa JF?
 
Mkuu Crashwise, hii ratiba kama inatuhusu na sisi Wa Shinyanga mjini tuelezeni jamani tusije tukakosa uhondo! Kesho kamanda mkuu atakuwa hapa mjini?
Tunafanya mikutano yakikanda na tunafanya kwenye makao makuu ya kanda

Cc. Chadema Kwanza
 
Mkuu Mzito Kabwela nipe hiyo Tarifa ya mkuu wa wilaya kiundani

Mkuu Mwanahabari Huru viongozi wa CCM walipopata taarifa kuwa mvua imeleta madhara pamoja na vifo, wakakimbia mbio kupiga kambi maeneo yenye athari. Wakawa wanapokea misaada ya vyakula, magodoro, neti, fedha. Sasa Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa CCM wilaya ya Kahama wakaanza kuiba vifaa vya msaada huku wahanga wakipiga miayo na kupatwa mshangao Mkuu wa Wilaya anaiba hadi sabuni za miche za misaada. Mkuu wa CCM Mkoa alipopata hizo taarifa za uhuni wa mkuu wa wilaya na m/kiti wa CCM wilaya, almanusura awatwange ngumi. Walizozana sana. Hii ilikuwa live ITV
 
Last edited by a moderator:
MIMI NINA HISI HUENDA ALITRANSFORM ID TU, NAHISI NI MMOJA WAPO HUENDA YA HIZI ID MPYA ZILIZOSAJILIWA MWAKA JANA KARIBIA NA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAAA, KUNA MMOJA NAMUHISI ALISEMA CHADEMA IKISHINDA MITAA 10 TU ATATEMBEA UCHI KARIAKOO... HUYU MTU ANAKIHERERE SANA KILA UZI YUPO TANGU SA 1 ASUBUHI HADI USIKU WA MANANE, YUKO ACTIVE TU...

Hata mimi nilikuwa naulizia tu Mkuu maana zamani alivyokuwaga na kiherehere! Lakini sasa hivi nina miaka sijamsikia wala kumwona hapa JF! Sasa kama mtu uko hai utaachaje kuonekana hapa JF?[/QUOTE]
 
Mkuu Mwanahabari Huru viongozi wa CCM walipopata taarifa kuwa mvua imeleta madhara pamoja na vifo, wakakimbia mbio kupiga kambi maeneo yenye athari. Wakawa wanapokea misaada ya vyakula, magodoro, neti, fedha. Sasa Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa CCM wilaya ya Kahama wakaanza kuiba vifaa vya msaada huku wahanga wakipiga miayo na kupatwa mshangao Mkuu wa Wilaya anaiba hadi sabuni za miche za misaada. Mkuu wa CCM Mkoa alipopata hizo taarifa za uhuni wa mkuu wa wilaya na m/kiti wa CCM wilaya, almanusura awatwange ngumi. Walizozana sana. Hii ilikuwa live ITV

Naanza kupata ukweli kwanini ccm wanaurafiki na fisi sasa
 
Last edited by a moderator:
Mbowe waziri mkuu wetu uyu,magogon ni dr.slaa na makamu wake lipumba,speaker ni marando,sheeeeeeda
lissu mkuu wa sheria

Hapana Mkuu haitakuwa hivyo, makamu Wa Rais huwa anatoka Zanzibar kama Rais ametoka Bara! Hivyo ngawanyo utakuwa hivi: Makamu - Jussa/Juma Duni/Mh. Shaka; PM Mbowe, Uchumi na mipango - Lipumba; fedha Mbatia, sheria -Lissu; Mambo ya nje Makaidi n.k.
 
HIV KWELI MKUU, KATIKA MKUTANO WA KISIASA KAMA KWELI UNAAJENDA ZA MSINGI ZINAZO GUSA MATATIZO YA WATU WAKO HIVI KWELI UTAKUMBUKA HABARI ZA KUTAFUTIWA FISI KWELI, KABISA?? YAANI HAPO NI USHIRIKINA TU MKUU,, NCHI ILIVYOJAA MATATIZO HII, HIVI KUNAWIZARA GANI UTASEMA HII NI AFADHALI KULIKO ILE?? KILA SEHEMU MAJANGA TU, HIZI NYIMBO HATA WALIOZITUNGA HAWAZIKUMBUKI TENA, MKURABITA, MKUKUTA, MUKUZA, KASI MPYA ARI MPYA, TUMETHUBUTU TUMEWEZA TUNASONGA MBELE, MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, NTAIGEUZA KIGOMA KUWA DUBAI.. BLAHAAA, BLAHAHAAA, BHAAAA BHAAAA, HAKUNA KITU... TIA MAJI TIA MAJI UCHAGUZI HUU HAPA, SIJUI HATA KAMA JK ANAKUMBUKA WAPI ALIAHIDI NINI.. ETI AJIRA MILIONI 5, MUNGU WANGU?? KATIBA YA WARIOBA ILILIONA HILI ILITAKIWA RAISI ASHITAKIWE KWA KUSEMA UONGO KAMA HUU WA JK...... CCM NI RUSHWA NA UCHAWI TU NDIVYO VINAVYOWAWEKA MADARAKANI......[QUOTE=Mwanahabari Huru;12103266]Naanza kupata ukweli kwanini ccm wanaurafiki na fisi sasa[/QUOTE]
 
Tunafanya mikutano yakikanda na tunafanya kwenye makao makuu ya kanda

Cc. Chadema Kwanza

Kwa hiyo hii kanda yetu ya Serengeti makao makuu yako KAHAMA? Kama ni hivyo watakuwa wamekosea ramani, hiyo jografia haijakaa sasa! Makao makuu ya kanda hiyo yalipaswa yawe Simiyu (Bariadi) ambayo itakuwa katikati ya mikoa hiyo mitatu! Hii itamrahisishia mtu anayetoka Mara na Yule anayetoka Shinyanga! Naomba ufafanuzi tafadhari!! Ila mwaka huu magamba lazima tuwawowe!!
 
Yani hizi harakati ndio ziendelee moja kwa moja kwa moja hadi kufikia uchaguzi tutakua tumesafisha kila pande y nchi
 
Msisahau kuwakumbushia kujiandikisha.Msiridhike na watu kujaa kwenye mikutano.Umuhimu kujiandjkisha.Pamoja na mizengwe ya CCM, hata ikibidi kununua kadi ya CCM kama ndiyo kigezo cha kujiandikisha wanunue tu mradi tupate wapiga kura wengi wa kutosha.

Kiongozi hili la kujiandikisha shaka ondoa hata hapa muda huu nimetoka nyumba hadi nyumba kuwapa elimu ya uraia wananchi maana huku tunakoelekea ni lazima tufike tunakotaka!!!!!
 
Kiongozi hili la kujiandikisha shaka ondoa hata hapa muda huu nimetoka nyumba hadi nyumba kuwapa elimu ya uraia wananchi maana huku tunakoelekea ni lazima tufike tunakotaka!!!!!

Ni kweli.Lazima CCM wacheze ngoma ya Wadanganyika safari hii.
 
Mkuu Mwanahabari Huru viongozi wa CCM walipopata taarifa kuwa mvua imeleta madhara pamoja na vifo, wakakimbia mbio kupiga kambi maeneo yenye athari. Wakawa wanapokea misaada ya vyakula, magodoro, neti, fedha. Sasa Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa CCM wilaya ya Kahama wakaanza kuiba vifaa vya msaada huku wahanga wakipiga miayo na kupatwa mshangao Mkuu wa Wilaya anaiba hadi sabuni za miche za misaada. Mkuu wa CCM Mkoa alipopata hizo taarifa za uhuni wa mkuu wa wilaya na m/kiti wa CCM wilaya, almanusura awatwange ngumi. Walizozana sana. Hii ilikuwa live ITV
Huko kuwa live ITV ndiyo hasa kichocheo. Isingekuwa po itv wala kusingekuwa na taabu.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akihutubia maelfu ya wakazi wa Kahama jioni hii....

Note: ccm someni alama za nyakati.......stay tuned www.jamiiforums.com

11034316_390826784421687_3150701706119090768_n.jpg

10378958_390826677755031_5618439719813254437_n.jpg

10380918_390826734421692_4315090937664097498_n.jpg
 
Nape ana macho ya kondoo,!!!!! Eti upinzani unakufa kama kweli anaona aseme sasa ameona hizo pichaaaaa!!!???
 
Back
Top Bottom