Mkutano wa Freeman Mbowe mjini Kahama

Mkutano wa Freeman Mbowe mjini Kahama

...

....Chama Makini kwa Watu Makini


attachment.php
 
bahati mbaya hakuna mpiga kura hapo, wote vibaka na wahuni
Ni ajabu sana,kuwaita binadamu wenzako wahuni na vibaka huku ukijua sio kweli,eti kwakuwa tu wametofautiana na wewe kiitikadi,kifikra ama kimtazamo.
 
Nape kwel.mchumia tumbo ...anaglia tangu apate kile cheo cha uongo....amekuwa na tumbo kubwa hongera ccm
 
Laki si pesa unabwabwaja tu kwan wewe una mume? ? Unawaambia wenzako sio wapiga kura? Kweli wewe ngiri pori haki, vile uko mpuuzi ningekutukana sana kuniambia mm kibaka na muhun, punguani wewe
 
bahati mbaya hakuna mpiga kura hapo, wote vibaka na wahuni

Aisee tena hizo kura za vibaka na wahuni ndio tamu kweli, zinatutosha kabisa. Nyie mkachukueni hizo hizo kura zenu za majoka yenye makengezaaaaaa na za wanunua mboga za mil. 10
 
Hawa wote wakiandikishwa kwenye BRV na kuweza kupiga kura itakuwa vyema

Umenena vyema.
Hapo unaweza kuta wanamshangilia tu Mbowe hamasa ama nia ya kupiga kura hawana.

Hakika hao wote wakiandikishwa na wakapiga kura italeta mabadiliko..
 
Nape Nnauye yampasa kubuni propaganda zinazojibu hali hii. Zile anazoendelea nazo sambamba na hizi za wenzake humu ndani, ndo zinaichimbia ccm shimo la kuangamia....
 
Last edited by a moderator:
Hongereni, rai yangu cdm nendeni mpaka vijijini huko ndiko kuna wengi wasiojitambua!
 
Back
Top Bottom