Mkutano wa Freeman Mbowe mjini Kahama

Mkutano wa Freeman Mbowe mjini Kahama

Msijali, Kinana atenda kesho kupiga nao picha akiwa akichuma nao nyanya na kuchimba mashimo ya choo.
 
Charity begins at home, ukitaka kujua nadharia ya mtu kwenye jamii na perception yake on what is right ni jinsi anavyowa-treat wale walio karibu yake na jinsi anavyoendesha mambo yake nyumbani kwake.

Iwapo wewe unaona sahihi mshahara wako uwe tsh/12mils na mwajiriwa wako anaekaa karibu na wewe anapata laki nne. isitoshe bado wewe una posho ambazo ni zaidi ya mara mbili ya mshahara wa huyo jamaa ambazo unapata kwa siku wakati wote mpo katika harakati za ukombozi; something is not right.

Ukiona kiongozi hana-time na kuwekeza kwenye misingi ya ofisi za chama na yuko tayari kuzunguka kwa malipo ya posho ujue hakuna prioirty za long term building foundation.

In short upinzani ulitakiwa kuonyesha culture tofauti kwanza within their own organization za value on 'needs and wants' za mtu kwa mishahara ambayo wanadhani ni sahihi kulingana na maisha ya mtanzania, uimarishaji wa taasisi zao kwanza kwenye majengo na jinsi wanavyo coordinate communication zao, walitakiwa kuwa mfano kuonyesha moral concerns walau kuhuduria misiba ya albino, walitakiwa waongelee sera za kuuza bidhaa zinazowakabili wakulima, walitakiwa wazungumzie swala la high density kwenye miji na uwezo wa service za serikari kwasasa na sio kupiga picha na kutumia kama kushindwa kwa serikari bila ya kutolea solution za ufafanuzi.

Kitu ambacho kwao cha kuongea ni katiba naaamini 100% katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 aikuwa na matatizo hata chembe, na kuna sheria luluki za usimamizi na serikari bora isipokuwa watu ndio tatizo. Sasa ukiona mtu anakwambia katiba ina matatizo na wewe uulizi kivipi unapiga kelele tu niwa kusikitikiwa tu, tatizo ninalo kubali ni madaraka ya raisi ni too much somehow hizo nguvu ziende usalama kwa mbinu za watu kuwekwa taasisi mbali mbali kama wakuregenzi na wafanya maamuzi lakini kwa raisi imezidi kwakweli.
 
Ni kuonye kuwaita watanzania wahuni.wahuni ni ccm ambao wamepoteza uwezo wa kufikiri.chadema kinaungwa mkono na wasomi.
 
ijmosi uvccm walikuwa wanafanya mazoezi ya kikabiliana na cdm...hope wamepima kina cha maji...
 
Mwaka 1992 ulikuwa ni mwanzo tu,sasa chadema ni mashine nyingine
 
Wakuu Molemo na Crashwise...tafadhali mtujuze ,tumesikia eti CCM walijaribu kuleta fujo kwenye kikao cha kanda usiku ila wakadhibitiwa na vijana shupavu wa REDBRIGADE..Je,tarifa hizi ni za kweli..?
 
Wakuu Molemo na Crashwise...tafadhali mtujuze ,tumesikia eti CCM walijaribu kuleta fujo kwenye kikao cha kanda usiku ila wakadhibitiwa na vijana shupavu wa REDBRIGADE..Je,tarifa hizi ni za kweli..?

Mkuu hazina ukweli wowote.Ni propaganda za MaCCM na vibaraka wao!
 
Mkuu hazina ukweli wowote.Ni propaganda za MaCCM na vibaraka wao!

Asante sana mkuu,nawatakia kila la heri katika mapambano huko.Mungu awatangulie katika kuwakomboa waTz waliodhulumiwa stahiki zao kwa mda mwingi..
 
UVCCM walikuwa kwenye Ofisi ya CCM juu wakifanya mazoezi ya kufanya vurugu... Nadhani wamesoma alama za nyakati kwani nyomi la CHADEMA lingeweza kuwapeleka Akhera madukani faster ....
Walikuwa wanahutubia Kahama?
 
eee bhana mkuu , uzi uko chukuchuku utadhani msosi wa mgonjwa wa kisukari bhana ! tupia mapicha mjomba .

Peoples pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:flypig::flypig::flypig::flypig::A S-frusty2::A S-frusty2::A S-frusty2:
 
eee bhana mkuu , uzi uko chukuchuku utadhani msosi wa mgonjwa wa kisukari bhana ! tupia mapicha mjomba .

Peoples pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:flypig::flypig::flypig::flypig::A S-frusty2::A S-frusty2::A S-frusty2:
 
Back
Top Bottom