Mkutano wa Dr Slaa Iringa mjini

Mkutano wa Dr Slaa Iringa mjini

10689506_747323515314964_1335678441530602801_n.jpg

10358550_747323695314946_50160329522321306_n.jpg

10423702_747323875314928_2025375820792527612_n.jpg

1904252_747324305314885_4119384491096059689_n.jpg

Haya mafuriko sasa! CCM hapa tuna kazi ya ziada!
 
Ameongele mambo kadhaa ya msingi.

1. uchaguzi wa serikali za mitaa, ambapo ameawaasa wanachadema kuanzia kesho kujiandikisha kwenye daftari ya kupigia kura za mitaa, kwani daftari hizo zipo kwenye ofisi za mitaa na watuwengi hawana taarifa kuwa wanatakiwa kujisajili kabla ya kupiga kura. amesema wanachadema wasijekulalamika kuwa wameshidwa kupiga kura kwani wapinzani wao wanaweza kutumia turufu hii kuandikisha wanachama wao tu na kisha kushibda uchaguzi.

pia amesisitiza kuwa chadema inahitaji sana uongozi mashinani ili kukipa nguvu chama kwenda uchguzi wa wabunge na rais

2 Kura ya maoni kwa katiba pendekezwa.

amewasihi wananchi kujianda kupiga kura ya hapana kwani chadema inaamini katiba mpya pamoja na kutaja maeneo mengi ya haki za wakulima, wafugaji, walemavu na nk, lakini katiba hiyohiyo imewanyanganya nguvu wananchi kwani kuna ibara inayowanyima haki ya kudai mahakamani, kwahiyo ni sawa na kutokuwepo.
 
Hao wote hapo ni wakulima wanasubiri msimu wa kilimo uanze sasa hivi hawana kazi yoyote ndio maana wako hapo kupoteza muda

Ila sina uhakika km wamesombwa na maroli! Watakuwa wamekuja wenyewe! Kuna vyama vngne vnaleta watu kwa maroli kwa sababu bila kufanya hvyo hawatakuja hata km hawana kazi!
 
eti makamu wa raisi ni watatu ila serikali ni mbili,maajabu haya sasa sijuhi waziri mkuu anapokuwa makamu wa rais muda huo nani anachukuwa nafasi ya uwaziri mkuu ..ccm mnazidiwa akiri hata na dagaa,mrudishe pesa yetu mliyoila kwenye BMK ili tukajinunulie dawa za figo za ndugu zetu muhimbili
 
Kwa wivu wao watafikri kurusha mabomu katk mikutano hiyo. This time around tutabanana...thubutu muone redbrigade ilivyo imara.
 
Na hizo!
 

Attachments

  • 1413736956468.jpg
    1413736956468.jpg
    161.1 KB · Views: 328
Jangili a.k.a Kinana ndio mwehu kabisa,maharamia makubwa.

lakini kinena likatibu lenu alipokuja pale juzi bado hawa watu walikuwa hawajaanza haya mapumziko ya kusubiri msimu wa kilimo uanze ndo maana alikosa watu
 
eti makamu wa raisi ni watatu ila serikali ni mbili,maajabu haya sasa sijuhi waziri mkuu anapokuwa makamu wa rais muda huo nani anachukuwa nafasi ya uwaziri mkuu ..ccm mnazidiwa akiri hata na dagaa,mrudishe pesa yetu mliyoila kwenye BMK ili tukajinunulie dawa za figo za ndugu zetu muhimbili

Teteteeeeee...Rweye umenivunja mbavu! Hapa umemgusa Mwanadiwani.
 
Back
Top Bottom