Mkutano wa Dr Slaa Iringa mjini

Mkutano wa Dr Slaa Iringa mjini

attachment.php
attachment.php
 
Naamini hizi picha Nape hajaziona, email yake nainunua 100,000/= mwenye nayo anitumie PM"
 
Hahahahahhh.......Hiyo sikuipata Kamanda, Kwanini hukurushia humu kama ilivyo ada??

Bila shaka Lukuvi alishikwa na tumbo la kuhara damu na vile ni mgonjwa wa kisukari (Ref Kikombe cha Babu Loliondo) Sijui kama atakuwa ktk hali nzuri.

BACK TANGANYIKA
Ana ngoma wala siyo kisukari peke yake
 
Yaaani picha hizi zimenihamasisha yaani naziangalia mara kwa mara.
Hiyo inaitwa delete CCM Iringa. Sasa ni mwendo mdundo wa mkoa kwa mkoa deleta CCM
 
CHADEMA ni nouma!!! naona kila mtu anaviroba vitatu vitatu na chupa la gongo! Big up babu Slaa, tetea gongo ili tusio na pesa za bia na sisi tunywe gongo hadharani!
 
unajua bhana tulisha waambia siku nyingi kwamba cdm ni mpango wa mungu .
 
Hapo ni Bila Ukawa, tukianza Mchaka mchaka wa Ukawa Kuanzia Tarehe 26 mafisadi wa CCM watakimbia nchi. CCM wameiba hadi wahisani wameshitukia, wamegoma kutoa hela, sasa watanzania tunataka ishara gani kuwa CCM haitakiwi tena?

noma sana !
 
Mkuu wangu mmaranguOriginal unaweza kututhibitishia hilo ulilolisema hapo juu?
ubarikiwe

mkuu kombajr. mbona picha na video za mbowe akifanya romance na huyo binti mdogo sana zimesambaa sana mitandaoni mpaka whaaps.amekidhalilisha sana chadema.
 
Back
Top Bottom