Mkutano wa Dr Slaa Iringa mjini

Mkutano wa Dr Slaa Iringa mjini

Iringa msimu kama huu ambao.kilimo hakijaanza watu wengi hawana kazi ya kufanya.. Hata chizi akiandaa mkutano watu watajaa kupoteza muda.
 
Jana Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalimu kawamaliza magamba huko Isimani Kwa Lukuvi...Lukuvi kwa kihoro akawatuma mapolisiccm eti kwenda na mkwara wa kutisha watu kwa magari na 'kukoki' bunduki, wapambanaji wanawadeku tu huku wakila nondo za mkutanoni!

Polisiccm wanaanza kuzoeleka!

Hahahahahhh.......Hiyo sikuipata Kamanda, Kwanini hukurushia humu kama ilivyo ada??

Bila shaka Lukuvi alishikwa na tumbo la kuhara damu na vile ni mgonjwa wa kisukari (Ref Kikombe cha Babu Loliondo) Sijui kama atakuwa ktk hali nzuri.

BACK TANGANYIKA
 
Slaa anawaaga wana Iringa maana mwakani hili jimbo Chadema watalisikia redioni tu
 
Iringa msimu kama huu ambao.kilimo hakijaanza watu wengi hawana kazi ya kufanya.. Hata chizi akiandaa mkutano watu watajaa kupoteza muda.

Unamaana huyu jamaa wa meno ya tembo fisadi wa ccm naye chizi maana ndo katoka huku iringa hivi punde.ccm mnamambo hata huyu wakwenu mnamwita chizi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

attachment.php
 
Iringa msimu kama huu ambao.kilimo hakijaanza watu wengi hawana kazi ya kufanya.. Hata chizi akiandaa mkutano watu watajaa kupoteza muda.

...madhara ya kuchokoza nyuki nasikia hii kitu ni nonstop mpaka 2015!!!

10358550_747323695314946_50160329522321306_n.jpg
 
...madhara ya kuchokoza nyuki nasikia hii kitu ni nonstop mpaka 2015!!!

10358550_747323695314946_50160329522321306_n.jpg

Hao wote hapo ni wakulima wanasubiri msimu wa kilimo uanze sasa hivi hawana kazi yoyote ndio maana wako hapo kupoteza muda
 
LAKI SI PES koma kama ulivykma kunyonya sisi wanyarukolo tumeamua na tunahasira na ccm hata kujinyonga mwaka huu hatutaki tena
 
Unamaana huyu jamaa wa meno ya tembo fisadi wa ccm naye chizi maana ndo katoka huku iringa hivi punde.ccm mnamambo hata huyu wakwenu mnamwita chizi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

attachment.php

Mkuu hizo fuso zilileta nini hapo au zilibeba mazulia?
 
hao wote hapo ni wakulima wanasubiri msimu wa kilimo uanze sasa hivi hawana kazi yoyote ndio maana wako hapo kupoteza muda
wanaobebwa na malori kama ng'ombe tunaowatoa kwetu usukumani, majira yao ya kazi ni yapi?
 
safari hii MAGAMBA lazima yaombe poo! UKAWA tunatwanga kotekote.
 
...

.....
moderators tunaomba mtukuzie hizo picha hapo juu ...JF daima !!!
 
Back
Top Bottom