Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Iringa ipi unazungumzia kwani chagadema iringa mnamajimbo mangapi ya uchaguzi.Hapo hakuna kusomba watu na malori. ..wala kugawa kanga, t-shirts na kofia...Magamba iringa hawana chao....
Iringa ipi unazungumzia kwani chagadema iringa mnamajimbo mangapi ya uchaguzi.Hapo hakuna kusomba watu na malori. ..wala kugawa kanga, t-shirts na kofia...Magamba iringa hawana chao....
Amejikita kuzungumzia serikali tatu basi hakuna lingine.Mkuu Dazzle
Pamoja nakuleta picha, nijambo lamsingi kabisa kushusha hapa jukwaani kinachoongelewa yaani ujumbe na hotuba.
Picha peke yake hazitosherezi, ujumbe nimuhimu sana hivyo dondoo ni moja ya hamasa katika uzi.
Juzi hapohapo Iringa ndio Kinana alisema "CCM niwa puuzi na wanapenda rushwa na siasa za makundi.."
Siku zipo tusikimbiane mapema mwaka ujao.Ruzuku za lumumba mwigulu kamuhonga juliana shonza
Mkuu nyuma ya dr slaa unafanya nini kama siyo tabia za kijinga ni nini.Go go go go go goooo Dr Slaa,watz tupo nyuma yako
Hii ndo katiba ya mwehu Sitta!!!!!Amejikita kuzungumzia serikali tatu basi hakuna lingine.
Iringa ipi unazungumzia kwani chagadema iringa mnamajimbo mangapi ya uchaguzi.
Siku zipo tusikimbiane mapema mwaka ujao.
Siku zipo tusikimbiane mapema mwaka ujao.
Hapo hakuna kusomba watu na malori. ..wala kugawa kanga, t-shirts na kofia...Magamba iringa hawana chao....
Sisi Wahehe tukiamua kitu hua haturudi nyumadaaah kweli wahehe wameamua....hii inatia moyo sanaaa!!