Mkutano wa Dr Slaa Iringa mjini

Mkutano wa Dr Slaa Iringa mjini

hao wote wanakusanyana halafu kura wanatupa ccm . kalaghabaooo chadema

wewe tu endelea kujifariji hivyo hivyo. hata mwathirika anapokunywa irv hujifariji kwamba anapata tiba wakati si kweli. mwaka 2015 ndio mwisho wa ccm na ufisadi wake hapa nchini.
 
Mkuu hizo fuso zilileta nini hapo au zilibeba mazulia?


Mkuu ziara za Nape na Kinana lazima watu wapewe takrima lau ya fedha au ya usafiri wa malori, mafuso mabasi nk kinyume chake mbona kuumbuka nilazima. wanateka hazina mafungu ya kodi zetu ilikuhonga watu.
 
mbowe juzi alikuwa anafanya romance na binti Wa miaka 24.

......watu watakufa kwa pressure !!

10358550_747323695314946_50160329522321306_n.jpg
 
Siku zipo tusikimbiane mapema mwaka ujao.

ila yawezekana akili zako kweli ziko mfukoni, yaani unaweka picha ya kukutukana mwenyewe? watu wamejazana kwenye maroli yaliyowasomba bila aibu unajibaragu kuiweka????? akili yako ina mchanganyiko wa kamasi
 
Porojo, kuhororoja na kubwabwaja kwake tumekuzoea, hana impact yoyote.

Safari hii si atazuwa nini huko, ngoja tusikilizie.
 
Ameenda kutafuta mwingine kama jose au anaishu gani make siasa mzee zimemshinda anaongea mishipa yote mpaka ya tumbo na shingo imesimama.

Ropoka yote mwisho wa sku utulie dawa iingie vema
 
Iringa ipi unazungumzia kwani chagadema iringa mnamajimbo mangapi ya uchaguzi.
tulia Tigo inawasha nn? Nenda akutindue mzee Wang Leo kalala hotel iringa paleee...
Ni inbox nikuambie rum ngapi ufke faster
 
CDM ni mwendo mdundo tu! Jana tulikuwa furahisha tunapata madini ya maana na tumejiandaa kusema NO kwa katiba ya kifisadi
 
Back
Top Bottom