Mkutano wa Dr Slaa Iringa mjini

Mkutano wa Dr Slaa Iringa mjini

Ukwa mjinga unakuwa na kiburi na jeuri nyingi,lakini ni heri mtu mpumbavu ambaye yeye amejawa na mshangao ooohh kumbe!!!,ukimwelewesha anaelewa,ccm imekataa kuwa mpumbavu imeshupaaaa!!!
kwa kufanya na kudhihirisha hili,imefunga tovuti ya tume ambayo imejaa kila kitu, humo tuliweka rasimu,randama na ushahidi wa sauti na eneo kujua nini alichangiakuna video nk.
ccm ccm imeshupaaa by paramagamba kabudi, ( mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba 2014
 
Unamaana huyu jamaa wa meno ya tembo fisadi wa ccm naye chizi maana ndo katoka huku iringa hivi punde.ccm mnamambo hata huyu wakwenu mnamwita chizi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

attachment.php


mkuu,naona wngine wamegoma kushuka kwenye malori yaliyowaleta,sijui hawajalipwa nini?
 
hakuna jenereta huko.ruzuku kajengea nyumba angenunua hata la laki tano tu

Kama mwenye wajibu wa kumpa mimba mama yako ni baba ako! Ndivyo ilivyo kwa selikali ni wajibu wake kutoa huduna za kijamii kwa wananchi.
 
Tunawashukuru kwa picha.... Lakini waambieni pia waliopo mbali mada kuu inayozungumzwa...
Msigwa, Safari, Slaa, wamewaambia nini hao wananchi?
Wananchi wana hamasa kiasi gani?
 
Unamaana huyu jamaa wa meno ya tembo fisadi wa ccm naye chizi maana ndo katoka huku iringa hivi punde.ccm mnamambo hata huyu wakwenu mnamwita chizi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

attachment.php

Hawa jamaa wa Iringa nimeamini ni wajanja, waliamua kumvalisha Kinana bendara ya CHADEMA bila yeye kujua kwa kumvalisha rangi za nyekundu na nyeupe ambazo zote ziko kwenye bendera ya CHADEMA yeye bila kujua anatabasamu tu. Chezea Iringa wewe !!!?
 
Ameenda kutafuta mwingine kama jose au anaishu gani make siasa mzee zimemshinda anaongea mishipa yote mpaka ya tumbo na shingo imesimama.

Nitaendelea kukuambia si bure wewe ni mtu ambaye hauna akiri kabisa. Kazi yako ni kubwabwaja tu.
Tumia akiri na utaheshimiwa
 
wameanza na sehemu zenye nyomi lao.........mgombea mmoja UKAWA itawezekana..........?...najiuliza tu
 
Elimu ya Msigwqa kwa wanyalukolo wake. Ati nepi naunye anasema Ukawa itakufa kwa risasi moja. Tungojee matokeo, nadhani anayo nyumba msumbiji huyu atakakokimbilia, mwangalieni vizuri
 
Opposition wanapata supports kubwa sana pia wamepiga maendeleo ya haraka sana maana wananchi waTZ WAMEWAAMINI KWA HARAKA SANA but tatizo liko kwenye manegement ya hawa wapiga kura.imefika wakati wa vyama hivi kuwa na office ya mahusiano ambayo itakuwa na service 24 hrs,wenye kupokea simu na maulizo tote ya wanachama na wapenzi wao.
 
unatetea uovu. mbowe amekidhalilisha sana chadema kama Mwenyekiti kufanya kitendo cha romance na binti Wa miaka 24. amewavunja moyo wanachadema sana.wamesema watamngoa

Unaongelea WanaCDM wa lumumba au? Kachukue ujira wako kwa nape utibu hilo tumbo lako kubwa kama kiroba.nilishasema kuwa CCM NI SAWA NA KIROBA CHA MAVI,USIPOKITUA KWA UZITO WAKE BASI UTAKITUPA KWA HARUFU YAKE MBAYA!
 
mkuu kombajr. mbona picha na video za mbowe akifanya romance na huyo binti mdogo sana zimesambaa sana mitandaoni mpaka whaaps.amekidhalilisha sana chadema.

Mkuu MmaranguOriginal huyo unayemsema Binti siyo Mke wa Mbowe Dr. Lilian Mtei? na waliopo nyuma ni familia yao...ebu thibitisha kabla ya kutupa mawe. Kissing ni tofauti na Romance?
 
CCM inakufa jamani,hivi hawajui dalili ya kuangamia kwa chama cha siasa
 
Jamani CCM si walikuwa huko juzi juzi - itabidi warudi tena.

10358550_747323695314946_50160329522321306_n.jpg
 
Back
Top Bottom