Mkutano wa Dr Slaa Iringa mjini

Mkutano wa Dr Slaa Iringa mjini

Mkuu Dazzle

Pamoja nakuleta picha, nijambo lamsingi kabisa kushusha hapa jukwaani kinachoongelewa yaani ujumbe na hotuba.

Picha peke yake hazitosherezi, ujumbe nimuhimu sana hivyo dondoo ni moja ya hamasa katika uzi.


weka kwanza hotuba ya Nape aliyoitoa kokote na Mwaka wowote ule Tuanze kuichambua kwanza.
 
Nilikuwa kwenye mkutano wa Chadema Tawi la Mwanga karibu na Msingi wa Urusi, ilikuwa ni Nyomi ya Hatari, wahutubiaji walikuwa Katibu wa wilaya ya Kigoma Mjini na Mwenyekiti wa Mkoa wa Chadema.. ACT na CCM Hawezi kuia Chadema Kigoma nimethibitisha hilo leo. Chadema ni mpango wa Mungu kwa ukombozi wa watanzania. Siku Viongozi wa Kitaifa wa Chadema wakija Kigoma ndo utakuwa mwisho wa Tambo za ACT na CCM.
 
Unamaana huyu jamaa wa meno ya tembo fisadi wa ccm naye chizi maana ndo katoka huku iringa hivi punde.ccm mnamambo hata huyu wakwenu mnamwita chizi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

attachment.php

"sisi ccm ni wapuuzi-Kinana"
 
Ni katika mkutano uliyo fanyika katika viwanja nya mlandege stand manspaa ya iringa mjini. Katika mkutano huo yalizungumziwa mambo Mengi ikiwemo suala la kitiba mpya ,chaguzi za mitaa na makubaliano ya UKAWA kusimisha mgombea mmoja kuanzia ngazi ya chini mbaka juu.
 

Attachments

  • 1413743170511.jpg
    1413743170511.jpg
    47.8 KB · Views: 909
  • 1413743210605.jpg
    1413743210605.jpg
    14.5 KB · Views: 1,973
  • 1413743224533.jpg
    1413743224533.jpg
    22.6 KB · Views: 2,722
  • 1413743247525.jpg
    1413743247525.jpg
    14.8 KB · Views: 1,207
Yaani Dr. Slaa kakusanya Iringa yote, CCM lazima waage mapema, nchi yote imeshashikwa na UKAWA
 
Kinana alisema.. "Oooh Mwakalebela atapita, yalikuwa makosa tu kutompitisha..."
 
Hapo ni Bila Ukawa, tukianza Mchaka mchaka wa Ukawa Kuanzia Tarehe 26 mafisadi wa CCM watakimbia nchi. CCM wameiba hadi wahisani wameshitukia, wamegoma kutoa hela, sasa watanzania tunataka ishara gani kuwa CCM haitakiwi tena?
 
Mng'oa Meno ya Tembo alipita hapo hapo, sasa nadhani amepata majibu kuwa watanzania wangechagua Chadema hata kama Mwakalebela angepitishwa.
 
Teteteeeeee...Rweye umenivunja mbavu! Hapa umemgusa Mwanadiwani.

Magamba yamemfanya mwanadiwani kuwa vuvuzela wa magamba. ....yaani mwanadiwani ni mropokaji mpaka aibu domo lake halina break
 
Mikutano ya magamba inategemea kusomba watu na malori hahaha
 
Back
Top Bottom