njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,259
- 7,108
Eti jk anapanda ndege kwenda marekani na kurudi na chandarua!
lipumba ndio kaongea haya maneno..? kakurupuka! JK ni leval nyingine... wala asijifananishe
Eti jk anapanda ndege kwenda marekani na kurudi na chandarua!
mwanangu una madharau sana,naona hata namna unaikodolea screen kwa dharaaau.
Ehe,tupe update,vipi watu ni wachache.
Jamaa gani? Slaa!?
Hiki chama kinaonesha dira ya mabadiliko huko tuendako.
Kauli ya Makamu M/kiti wa CUF Machano Khamis kusema waislam wote waingie CUF imekosa diplomasia. Ameyasema hayo kwenye mkutano unaoendelea sasa hivi unaorushwa hewani na TBC1.
Wakuu,
Nimeshuka hapa kituo cha Jangwani naelekea moja kwa moja mpaka kiwanjani, napishana na defender ikiwa na askari watatu...
Nitazidi kuwapa update
Kwani unataka kusema nini!?
m/mwenykt wako.
kuna ka ukweli hapo.. mtoto lulu kaharibikia pale !!.....
wito wa waslam kuingia cuf na hii imedhihirisha lengo lao!
Kaka lulu nae mtoto?