Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

wadau tumesikia cuf pale jangwan kupitia tbc wakitangaza harakati za ukomboz wa watanzania kupitia vision 4 change.mi naona copy n paste ya m4c ya chadema.kwanini wasije na muundo tofauti na cdm?my take ipi m4c au v4c itaondoa ccm madarakani?
 
Kauli ya Makamu M/kiti wa CUF Machano Khamis kusema waislam wote waingie CUF imekosa diplomasia. Ameyasema hayo kwenye mkutano unaoendelea sasa hivi unaorushwa hewani na TBC1.
 
Mbona 99% wamevaa balaghashia? Ule usemi kuwa cuf ni chama cha wa........ni kweli?
 
Prof. Lipumba anasogea kwenye mic anacheka cheka kisha anaanza kwa kusema:

"Wanaumeeeeee!!! Wanawakeeeee!!!!! CCM kwisha kwisha ndembe ndembe kifo cha mende"

mwanangu una madharau sana,naona hata namna unaikodolea screen kwa dharaaau.
Ehe,tupe update,vipi watu ni wachache.
 
Dah,cna uhakika kama huyu jamaa anakielewa alichokua akikizungumza.
 
Anazungumzia maswala ya gesi na kazi za gesi
 
Swali lako ni sawa na kuuliza kati ya cheetah na impala nani atashinda ikitokea wakaamua kupigana!
 
Kuna mtu anazungumza sasa hivi anasema zamani CUF ilikuwa na kaulimbiu ya 'Jino kwa jino' na sasa ni Mchaka Mchaka hadi 2015 Prof. Lipumba atakapoingia Ikulu.

bado huyu dicattor atagombea?
 
Nani anasema cuf ni waislamu wakati wamevaa vibaragashia kujikinga jua
 
Kuna mtu anazungumza sasa hivi anasema zamani CUF ilikuwa na kaulimbiu ya 'Jino kwa jino' na sasa ni Mchaka Mchaka hadi 2015 Prof. Lipumba atakapoingia Ikulu.

bado huyu dictator atagombea?
 
Back
Top Bottom