Kafu wanaona lipumba kama Mungu sijui siku akiamua kuja cdm jamaa labda watamsomea albadri
Vipi hawa jamaa walihamasishana misiktini nin,
Kaka lulu nae mtoto?
jamani fujo huku niliko kaa fujo kunam2 anapewa vitasa vya nguvu upepo umechafuka huku njuma!!!!?
Kisa kafungua walet yake atowe pesa anunue maji kadi ya chama ya chadema ikaanguka chini wamemkimbiza na ma2si juu kuwa ametumwa
wakuu,
nimeshuka hapa kituo cha jangwani naelekea moja kwa moja mpaka kiwanjani, napishana na defender ikiwa na askari watatu...
Nitazidi kuwapa update
Lipumba anasema njia rahisi ya kupunguza umasikin ni kuwapa masikin fedha taslimu.
Prof anasema pesa za gesi wapewe wananchi mkononi kila m2 akaitumie anavyotaka na kuboresha maisha yao
We hukumuelewa,kasema, cmd wanadai cuf ni chama cha waislam na ccm hivyohivyo kinadai cuf ni chama cha waislam sasa waende wapi? ndo akasema basi waislamu waingie cuf kwani hakina ubaguzi! acha upotoshaji!
Lipumba anaongea point sana!
usijali mkuu mi niko eneo la 2kio nitawapa update jf ni zaidi ja tbccm na cnn
tuambie wanasema nini hao ccmb maana sioni kama wana jipya.
MChumi anangurumisha Facts,Huwezi sikia facts kama hizi wa wacheza Disco na wakware wa wake za watu. Msaidieni kucopy points Padri zitamsaidia akiwa kaskazin kwenye mkutano yake
MChumi anangurumisha Facts,Huwezi sikia facts kama hizi wa wacheza Disco na wakware wa wake za watu. Msaidieni kucopy points Padri zitamsaidia akiwa kaskazin kwenye mkutano yake