Mungi, Ficha Upumbuvu wako Usifiche Hekima yako..Source Invisible.[/QU hilo nalo neno
Mkuu kuna Disco hakuna sera zozote?
Ajenda inafahamika kuwa nia na makusudi ni kupata Raisi ambae anatoka Mikoa hii miwili Arusha ama Kilimanjaro sasa M4C waende Karagwe wakatafute nini? Nyinyi wengine mnatumika tu na ndiyo maana hapo kwenye base yao hawatoki wanafanyakila wawezalo na ni kila wakipata nafasi na pia wanafahamu kabisa kuwa sehemu nyingine ni ngome ya Chama Tawala hata wafanyaje hawatakubalika kamwe!Kila siku Arusha tu Makamanda jaribuni kujitanua kitaifa zaidi kuliko kikanda.
Lini tutasikia Chadema wameweka kambi maeneo mengine kama.
Kilwa.
liwale.
Ruangwa.
Nachingwea.
Newala.
Nanyumbu.
Tandahimba.
Ngara.
Karagwe.
Muleba.
Kyerwa.
'Operesheni vua gamaba vaa gwanda' Nanyaro!!
Mwenyekiti wa wilaya ya Monduli anatoa salamu!!
Mimi naamini CCM pamoja na Lowassa mahali walipo wamesikia salamu hii!!
Nashukuru kuona wamasai zaidi ya 200 wanakuja kurudisha kadi!- M/ Kiti wa Monduli!
Ajenda inafahamika kuwa nia na makusudi ni kupata Raisi ambae anatoka Mikoa hii miwili Arusha ama Kilimanjaro sasa M4C waende Karagwe wakatafute nini? Nyinyi wengine mnatumika tu na ndiyo maana hapo kwenye base yao hawatoki wanafanyakila wawezalo na ni kila wakipata nafasi na pia wanafahamu kabisa kuwa sehemu nyingine ni ngome ya Chama Tawala hata wafanyaje hawatakubalika kamwe!
tunaanza na sala