Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

CCM imekwisha kabisa,duh hii ni tsunami
 
Balozi wa CCM Mzee Hamis Juma Msuya..

Balozi Unga LTD naye amerudisha lol..
 
Jamani arusha kweli ccm hawana pa kutokea kuna kadi zaidi ya 1000 zimetupwa kwenye dustbin,. Pipoooozzzzz,...
 
Huyu diwani toka unga LTD ndo kaniacha hoi, kaipengea kamasi kadi ya magamba na kuitupa kwenye dustbin.
sasa zamu ya kina mama kuvua gamba Live...
 
Kina mama wanaorudisha kadi wanawakilishwa na Rabia na mwenzake, wanapanda jukwaani sasa!!
 
Magamba this is my advice to you:

If at all no satisfactory research then no right to say.

Ritz na wenzako kimya.
 
LEMA; Hii ni operesheni maalumu baada ya mimi kupewa honey moon!!

Wenyeviti wa vijiji wanakuja sababu wanaona sio dili, kwanza kabisa mnajua M4C ilizaliwa Arusha na ikatupa mbunge Nassari, wale mnaochelewa itafika siku itakuwa dili kuja CDM so wahini..

Wakati wamenipa hnymoon tulifunga na sasa mlipuko umetokea na leo m/kiti taifa yuko hapa kupokea wanachama, kiufupi CCM lazima ife, na hata leo kuna diwani alikuwa atoke ila tumemstukia na tumempiga stop kwanza!!

Leo kazi ya mkutano huu ni kuonesha dunia kwamba tunaenda kuchukua nchi, nimepata taarifa sasa hivi kuwa wanataka kuhamisha wamachinga mimi mwenyewe machinga na sitoki na ninyi msitoke hii ni salamu kwa M/ Mkoa na halmashauri...

Hakuna kulala, hakuna kuonewa, mpaka kieleweke...

Rufaa imeshafika mahakamani, utukufu wa sasa utakuwa zaidi ya ule wa mwanzo!!

Kiongozi anatakiwa kuwa makini kwa kila anachoongea! Sijamuelewa hapo anaposema, "baadae kuingia chadema itakuwa dili" hivyo watanzania muwahi mapema! Anamaanisha nini? Najua, kuteleza imo. Elimu ya kuwafungua macho ya waliolala utumwani, isiwe na mipaka wala vigezo, iwe huru kwa yeyote kuifikia! Endeleeni kuijaribu njia hiyo, siku ipo ambayo tutakuwa pamoja katika maumivu kwa ajili ya furaha.
Mungu wetu anaita!
 
Nafuatilia updates kwa umakini,sijahudhuria kunako but tuko pamoja!
 
uwiiiiiiiiiiii........!!!!! kweli kabisa Millya, Bananga na Yohana Laizer mmetuacha.....!! inaniuma sana....!! lakini si neno sasa NINACHOFANYA naenda kumwomba Mzee wa Monduli (EL) nichukue nafasi ya Millya niwe karibu na Fred ili nami nichumechume kidogo na KUTUNISHA mfuko wangu kwa 2015..! kufa kufaana KUDADADEKI......!!
 
Jamaa anasema ''Ee mwenyenzi Mungu nisamehe kumpa kikwete kura yangu
 
Bananga: Namshukuru jk na mwanae Ridhwan kwa kutuuzi sana na leo tumeona mwanga.
 
Hii ni operesheni vua gamba vaa gwanda!!

Popote ulipo nenda ofisi ya CDM, vua gamba pewa gwanda pambana!!

Sasa ni msemaji wa wahindi..

Adil Batekhal Dewji anwsema amechoka anataka maendeleo kwa watoto na wajukuu zake!!

Izaak; Vijana tumetumika sana na magamba kama makarai ya zege, tutoke huko tutumie ujana wetu kuikomboa nchi yetu-

Ally Bananga; CDM wamechachamaaa
Mh Mwenyekiti, wana Sombetini mpo, kwa furaha sana hii ni siku ya furaha sana baada ya kuzaliwa na kuoa..

Namshukuru JK, RZ! kutuudhi sana na na leo nimeona mwanga mpya..

CDM, wasiolewa wanakisema vibaya, ndg zangu waislamu kama mnasema CDM ni ya ukabila na ukristo njooni muone..

Sasa ni kifo rasmi cha CCM!!


Nashukuru Mama na Mke wangu kwa kunikubalia na kunisindikiza!!
 
Back
Top Bottom