Mkutano wa CHADEMA Njombe na Matukio yake

You're taking Tanzanian for granted. Come November 2015, mtakuja na kauri zile zile za kutomtambua Rais halafu kesho yake mnakwenda ikulu kunywa chai na juice ya matunda.

Zidumu sauti za viongozi 'mashuhuri' zinazosema, Hatumtambui Rais lakini tunaitambua serikali yake!!.

Nendeni kwanza mkajifunze sayansi ya siasa ili mpate mwanga wa siasa ya Tanzania.

Anna Makinda hata ubunge hagombei tena 2015 halafu eti wanaenda kuwambia watu wamkatae? when and for what?

Hizi siasa za zimamoto zikiongozwa na kuku aliyekatwa kichwa.
 
Rose Mayemba nakushukuru sana kwa picha ambazo nimekuwa nazitafuta kwa muda mrefu sana,kimsingi tathimini ya kutumia attendence tayari nimeimaliza kwa kuona picha hizo,labda kama ulikuwa huko naomba utupe the actual approach ya wana Njombe kwenye kuyapokea mabadiliko katika taifa hili,ukombozi wa pili unaotafutwa katika nchi hii mapambano yakiongozwa na CDM,tafadhi nihabarishe zaidi

Nilkuwepo mwanzo hadi mwisho wa mkutano,kwa ujumla maisha magumu yamembadilisha Mtanzania.wananjombe wamebadilika sana na sidhani kama watafanya kosa tena.mwamko ni mkubwa sana mkuu
 
Katika hali ya kushangaza wakazi na wananchi wa Mkoa wa Njombe wamemkana Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa madai kuwa hawakumtuma kutumikia chama bali kushughulikia kero na matatizo ya wananchi.

Hayo yalitokea katika mkutano wa hadhara uliofanyika mkoani hapo katikati ya Jimbo la Njombe Kusini ambalo yeye ndiye Mbunge wake.

Mkutano huo ambao uliongozwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Mandeleo( CHADEMA), Dr wilbrod Peter Slaa,Naibu katibu mkuu kutoka zanzibari pamoja na wabunge machachari kutoka katika chama hicho(Mh Joseph Mbilinyi-Mbeya mjini, Mhezekiel Wenje-Nyamagana pamoja na Mchungaji Peter MsigwaIringa mjini) ambao wote kwa pamoja walifukuzwa bungeni kwa madai kuwa wanaleta fujo bungeni.

Dr Slaa aliwataka wananchi wamthibitishie kuwa Makinda hakwenda bungeni kuwatetea bali kukitumikia Chama Cha Mapinduzi hivyo wabunge wa Chadema waendelee na kasi hiyo hiyo ya kuisimamia na kuikosoa serikali, hapo ndipo umati wote uliohudhuria mkutano huo uliponyoosha mikono yote juu kwa ishara ya kuunga mkono hoja iliyotolea na kiongozi huyo.

Spika Anne Makinda anatuhumiwa kwa kuliongoza Bunge ki ubabe hivyo kuwanyima wapinzani haki yao ya msingi ya kuihoji serikali juu ya matuimizi mabaya ya mali ya umma .

SAM_1480.JPG

MH Ezekiel Wenje Akiwahitubia wananchi wa mkoa wa Njombe

SAM_1483.JPG

Naibu Katibu Mkuu kutoka Zanzibar akizungumza na wananchi wa Njombe

SAM_1493.JPG

Dr Wilbrod Slaa akihutubia umati mkubwa wa watu mkoani hapo

SAM_1499.JPG

Wananchi wakisikiliza kwa makini katika mkutano huo

SAM_1489.JPG

Dr slaa akiendelea kuwahutubia wakazi na wanachi wa mkoani Njombe

SAM_1503.JPG

Wananchi wa njombe wakiunga mkono maamuzi ya wapinzani juu ya uendeshwaji wa Bunge
​

Tu pamoja kuyaondoa haya manyonya damu.
 
You're taking Tanzanian for granted. Come November 2015, mtakuja na kauri zile zile za kutomtambua Rais halafu kesho yake mnakwenda ikulu kunywa chai na juice ya matunda.

Zidumu sauti za viongozi 'mashuhuri' zinazosema, Hatumtambui Rais lakini tunaitambua serikali yake!!.

Nendeni kwanza mkajifunze sayansi ya siasa ili mpate mwanga wa siasa ya Tanzania.

Anna Makinda hata ubunge hagombei tena 2015 halafu eti wanaenda kuwambia watu wamkatae? when and for what?

Hizi siasa za zimamoto zikiongozwa na kuku aliyekatwa kichwa.

Njua umeandika huku unatetemeka? pole hali ndio hiyo...na hao ndio watakinukisha nchi nzima mkichakachua 2015!
 
Hayo mawazo yako yanawezakuwa ya maana kwa wasioelewa kama wewe,kwa akiri ndogo ulizonazo uanawaona viongozi wa chadema kwa wanayoyasema hawafai,ungekuwa na akiri ungesema mabaya dhidi ya watawara kwani wameshindwa kusimamia utawara bora,mariasli za taifa kutokuwa wabunifu ili kulikomboa taifa na utegemez usioisha kibaya unaongezeka kila kukicha,taifa ambaro tangu uhuru linapewa misaada wale wanaotupatia misaada uchumi wao unazidi kukua na neema tele,sisi tunaopewa misaada tunazidi kuwa maskin wa kutupwa na hatujui ni lini taifa letu litondokana na matatzo yasyoisha.
 
elimu muhimu ya uraia muhimu sana hasa vijijini
kwa sasa wameshaamka,wamejua adui yao mkubwa ni CCM
haingiiii akilini miaka 51 ya uhuru watu bado wanalalia nyumba za tembe,udongo
wanaishi maisha ya tabu wakati tuna utajiri wa madini,gesi na rasilimali lukuki
CCM wameshashiba wanataka kubaki kwa nja yoyote madarakani ila 2015 ndio kiama chao
 
Njua umeandika huku unatetemeka? pole hali ndio hiyo...na hao ndio watakinukisha nchi nzima mkichakachua 2015!
Kwani 2010 hakikunuka? Au una maana nyingine kuhusiana na usemi huu. Kuna kukinukisha zaidi ya kuibiwa kura za URAIS na matokeo ya kibabe ya URAIS kutangazwa kama Dr.Slaa alivyodai 2010?
 
andaeni ving'oleo meno na kuch vya kutosha!!
tusubiri, mtaona....gamba we!
 
Kwani 2010 hakikunuka? Au una maana nyingine kuhusiana na usemi huu. Kuna kukinukisha zaidi ya kuibiwa kura za URAIS na matokeo ya kibabe ya URAIS kutangazwa kama Dr.Slaa alivyodai 2010?
Ngoja nikupe UNLIKE mkuu umezidi kuniboa
 
Nilkuwepo mwanzo hadi mwisho wa mkutano,kwa ujumla maisha magumu yamembadilisha Mtanzania.wananjombe wamebadilika sana na sidhani kama watafanya kosa tena.mwamko ni mkubwa sana mkuu

Nakushukuru sana kwa taarifa,aidha niyasifu maisha magumu yaendelee ili yaharikishe kasi ya mabadiliko kwa wale ambao bado wameweka pamba masikioni na wamevaa miwani ya mbao hawatki kujiunga na jeshi la ukombozi.kila la heri Njombe,tena zidisheni hasira pale mnapoona mwananjombe mwenzenu ndio anatumika kuwaumiza,wanawake wa Njombe mwangalieni kwa jicho la kumkimbia mwanamamke mwenzenu anaetumika kupoka haki yenu ya kuishi,tu kwa kukosa huduma ya afya ya mama mja mzito,kwa kuwafanya muamke usiku na kutembea umbali mrefu mkitafuta maji.Hakika muogopeni mwanamke huyu namjiunge na jeshi la ukombozi
 
Hayo mawazo yako yanawezakuwa ya maana kwa wasioelewa kama wewe,kwa akiri ndogo ulizonazo uanawaona viongozi wa chadema kwa wanayoyasema hawafai,ungekuwa na akiri ungesema mabaya dhidi ya watawara kwani wameshindwa kusimamia utawara bora,mariasli za taifa kutokuwa wabunifu ili kulikomboa taifa na utegemez usioisha kibaya unaongezeka kila kukicha,taifa ambaro tangu uhuru linapewa misaada wale wanaotupatia misaada uchumi wao unazidi kukua na neema tele,sisi tunaopewa misaada tunazidi kuwa maskin wa kutupwa na hatujui ni lini taifa letu litondokana na matatzo yasyoisha.
Hana ni mawazo ya ki-BAVICHA BAVICHA yanayojengwa kwa kuokota stories za kwenye vijiwe vya kahawa na kuzifanya ndiyo ukweli halisia.

Ehe, tueleze wewe uliye mbunifu. Kuna mchango gani wa kibunifu uliyoutoa kuisaidia CHADEMA ili isiendelee kuwa ni chama za upinzani kwa zaidi ya miaka 20?

Kama watawala siyo wabunifu, wangeendelea kuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 21 tokea mageuzi ya kisiasa kuanzishwa.

Hivi neno ubunifu kwako lina maana gani, kwa sababu inawezekana kama unavyochukua stories za vijiweni hata neno ubunifu haujui maana yake.
 
Ngoja nikupe UNLIKE mkuu umezidi kuniboa
aah, Mkuu hujui kuboreka hapa JF ni luxury. Itumie ipasavyo kwa vile umebahatika kuipata, siyo rahisi kihivyo kuipata hapa JF.

Mimi wala sikupi UNLIKE NOR LIKE.
 
You're taking Tanzanian for granted. Come November 2015, mtakuja na kauri zile zile za kutomtambua Rais halafu kesho yake mnakwenda ikulu kunywa chai na juice ya matunda.

Zidumu sauti za viongozi 'mashuhuri' zinazosema, Hatumtambui Rais lakini tunaitambua serikali yake!!.

Nendeni kwanza mkajifunze sayansi ya siasa ili mpate mwanga wa siasa ya Tanzania.

Anna Makinda hata ubunge hagombei tena 2015 halafu eti wanaenda kuwambia watu wamkatae? when and for what?

Hizi siasa za zimamoto zikiongozwa na kuku aliyekatwa kichwa.

Wewe! Lucifer anakusubiri hapo lumumba akupe posho ya buku 7 na kukulamba t.i.g.o.
 
Back
Top Bottom