Mkutano wa CHADEMA Njombe na Matukio yake

Mkutano wa CHADEMA Njombe na Matukio yake

wambie wakupe kiasi ktk pesa wanazo changisha ununue cm

ndo ulichokiona katika mad yoote??kama wewe umenunuliwa Laptop usifikiri chadema wananunulia watu laptop...nwigulu na nepi wanakupumulia kisogoni bila shaka yyt m 23
 
Last edited by a moderator:
attachment.php
 
wambie wakupe kiasi ktk pesa wanazo changisha ununue cm


kama ulivonunuliwa wewe kwa ajili ya kazi ya kuipaka tope chadema, unadhan kila mtu yupo ivo. Umechina mjomba. Tupa kule
 
mchango mmetoa. wajinga ndio waliwao


Kama wewe ulivyoliwa??
Kweli nimeamini Mungu sio mwanyingili, anaona mbali sana. Ungepata ubunge wewe, wakazi wa mbozi tungekuwa tunalia kwa ajili yao.
Ushukuriwe Mungu kuwaepusha wanambozi na mzigo huu. Tupa kule.
 
ndo ulichokiona katika mad yoote??kama wewe umenunuliwa Laptop usifikiri chadema wananunulia watu laptop...nwigulu na nepi wanakupumulia kisogoni bila shaka yyt m 23
We ni shonza nini? Weekend hii wapi?
 
wanajuta kuwapa likizo ya lazima, madam makinda lazima ccm wamlaumu, c mbele hadi ikulu 2015 ndo 2napumzika



plane.gif
plane.gif
plane.gif
plane.gif
plane.gif
plane.gif
plane.gif
plane.gif
 
Sema unaona aibu watoto wachache wa mtaani ndo wapo hapo.Eti simu yangu haina uwezo

Kwani kuna Diamond kule mpaka watoto wajae? au na wao wameanza kuokoteza hadi watoto wa shule za misingi na kuwavisha vijigwanda. Funguka tukuelewe
 
katika watu wanaonishangaza siku za hivi karibuni ni MACHALII wa ARCHUGA! Hivi kwanini hawajalamba kichwa cha huyo ---- mwenye kumtumia mbunge wao sms za kipuuzi? A-Town Imekuwaje siku hizi?...
 
Makinda na Ndugai nadhani wanajutia kuwafukuza wabunge wa chadema,Moto wanaouwasha madhara yake ni makubwa sana kwa ccm
 
Bungeni kuna habari kuwa wakuu ndani ya CCM na Bunge wanamlaumu Ndugai kwa kukurupuka kuwafungia wabunge wa Chadema siku tano kwa jazba zake bila hata kupewa maelekezo kama ilivyo kawaida yao.
Habari zinasema kuwafungia kumesababisha damage kubwa sana kuliko kama wangekuwa Bungeni, na majeraha wanayoyapata matibabu yake ni gharama kubwa sana. Na kwamba hata propaganda ya ugaidi imefunikwa na maamuzi ya Ndugai.

Viva cdm! Nimeona picha ITV,Mbeya na Iringa ilikuwa noma! Na bado watajilaum sana,'kumpiga teke chura'
 
usijali hata taarifa tu inatosha tumekupata na sala zinendelea juu ya mafanikio ya CHADEMA
 
Katika hali ya kushangaza wakazi na wananchi wa Mkoa wa Njombe wamemkana Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa madai kuwa hawakumtuma kutumikia chama bali kushughulikia kero na matatizo ya wananchi.

Hayo yalitokea katika mkutano wa hadhara uliofanyika mkoani hapo katikati ya Jimbo la Njombe Kusini ambalo yeye ndiye Mbunge wake.

Mkutano huo ambao uliongozwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Mandeleo( CHADEMA), Dr wilbrod Peter Slaa,Naibu katibu mkuu kutoka zanzibari pamoja na wabunge machachari kutoka katika chama hicho(Mh Joseph Mbilinyi-Mbeya mjini, Mhezekiel Wenje-Nyamagana pamoja na Mchungaji Peter MsigwaIringa mjini) ambao wote kwa pamoja walifukuzwa bungeni kwa madai kuwa wanaleta fujo bungeni.

Dr Slaa aliwataka wananchi wamthibitishie kuwa Makinda hakwenda bungeni kuwatetea bali kukitumikia Chama Cha Mapinduzi hivyo wabunge wa Chadema waendelee na kasi hiyo hiyo ya kuisimamia na kuikosoa serikali, hapo ndipo umati wote uliohudhuria mkutano huo uliponyoosha mikono yote juu kwa ishara ya kuunga mkono hoja iliyotolea na kiongozi huyo.

Spika Anne Makinda anatuhumiwa kwa kuliongoza Bunge ki ubabe hivyo kuwanyima wapinzani haki yao ya msingi ya kuihoji serikali juu ya matuimizi mabaya ya mali ya umma .

SAM_1480.JPG

MH Ezekiel Wenje Akiwahitubia wananchi wa mkoa wa Njombe


SAM_1483.JPG

Naibu Katibu Mkuu kutoka Zanzibar akizungumza na wananchi wa Njombe


SAM_1493.JPG

Dr Wilbrod Slaa akihutubia umati mkubwa wa watu mkoani hapo

SAM_1499.JPG

Wananchi wakisikiliza kwa makini katika mkutano huo

SAM_1489.JPG

Dr slaa akiendelea kuwahutubia wakazi na wanachi wa mkoani Njombe

SAM_1503.JPG

Wananchi wa njombe wakiunga mkono maamuzi ya wapinzani juu ya uendeshwaji wa Bunge
 
Wana JF heshima kwenu wakuu !!

Tafasri ya picha hizo ni dhahiri Anna Makinda hakubaliki.

The message has been sent and delivered to the right recipient at the right time.
 
Rose Mayemba nakushukuru sana kwa picha ambazo nimekuwa nazitafuta kwa muda mrefu sana,kimsingi tathimini ya kutumia attendence tayari nimeimaliza kwa kuona picha hizo,labda kama ulikuwa huko naomba utupe the actual approach ya wana Njombe kwenye kuyapokea mabadiliko katika taifa hili,ukombozi wa pili unaotafutwa katika nchi hii mapambano yakiongozwa na CDM,tafadhi nihabarishe zaidi
 
Back
Top Bottom